sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,540
- 865
- Thread starter
- #61
Mkuu maybe nilinukuu vibaya hii gharama yake inaenda 350m kama nilikujibu hivyo nimekosea kibinaadam naomba tusameheane karibu sana mkuuKaka kweli hi ndo ya million 65, acheni kulaghai watu, wata wagundua mapema uongo ukizidi