INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Chora nasi kwa gharama nafuu

Four bedrooms with studying room
5ee7532e40ec40adbfab49d0558bfc80.jpg
 
Hii bei gani boss wangu nijikusanye kwenye kibubu
Hii ina vyumba vitatu
Masterbedroom
Vyumba viwili ya kawaida
Jiko
Dining
Store na public toilet

Bei ya ramani 200,000

Gharama za ujenzi 65m

Karibu sana mkuu
 
Naomba maelezo ya hii na gharama za ujenzi kwa mwanza ikiwa na vyumba 3 na 4 au 5
Hii ikiwa na vyumba vitatu
Gharama yake ni 54 million mpaka kuisha ikiwa na vyumba vinne ni million 65

Hapo tumefanya estimation ya materials ambayo yanakuwa standard .
Karibu sana mkuu
 
Hii ikiwa na vyumba vitatu
Gharama yake ni 54 million mpaka kuisha ikiwa na vyumba vinne ni million 65

Hapo tumefanya estimation ya materials ambayo yanakuwa standard .
Karibu sana mkuu
kwa hiyo 65m nakabidhiwa funguo? Nitawatembelea, ofisi ni wapi vile?
 
Back
Top Bottom