INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Mimi ndiyo maana sipendo ma-architect wa Tanzania kwa sababu ya ujinga wao wa kukariri vitu. Kuna architect wangu mmoja nilimpa kazi ya kunichorea nyumba akaja na picha hizi hizi, nikamwambia kwanini asinichoree picha ya nyumba kutokana na jinsi nilivyomtajia mahitaji yangu? Akanidanganya kuwa yeye kachora hizi picha, bullshit. Hizi ni picha toka kwenye software ambayo ma architect wengi hapa Tanzania wanapeana. Wakinyimwa kazi wanalalamika kuwa hakuna soko wakati wao wenyewe si wabunifu, they are useless.
 
Hapana kuna software wanatumia kuchora.Hizo picha ni stage ya Mwisho huwa wanafanya "rendering" ya mchoro ukiwa katika 3D.

Floor Plan, Elevations na Sections haziwezi kuwa katika muonekano huo.
 
Kaka huyo uliemtafuta inawezekana alikuwa mjanja mjanja hivi vitu tunafanya wenyewe kabisa njoo na karibu tukufanyie kazi yako kwa umakini na kwa muda muafaka kabisa.
 
Hapana kuna software wanatumia kuchora.Hizo picha ni stage ya Mwisho huwa wanafanya "rendering" ya mchoro ukiwa katika 3D.

Floor Plan, Elevations na Sections haziwezi kuwa katika muonekano huo.
Nashukuru sana mkuu kwa kumsaidia
 
Chora nasi kwa gharama nafuu kabisa

Piga 0678195114
 
Hizi ni picha au ramani za nyumba?
 
Hizi ni picha au ramani za nyumba?
Hizi ni 3d mkuu baada ya kuchora ramani ili kupata muonekano wa nyumba yako itakuvyokuwa kwa wanao jua ramani hii kitu si kigeni cause lazima iambatanishwe kwenye ramani yako karibu sana mkuu
 
Karibu tukuchoree ramani unayo ipenda

5 rooms all self contains
Lounge
Dining
Kitchen
Store and
Public toilet
Covered area 12.5,14

Piga 0678195114
Wasap:0766195115
Email:sirajimsilanga55@gmail.com
 
Chora nasi sasa kwa gharama nafuu
Vyumba vinne
Floor ya kwanza
1.Master bedroom moja
2.laundry room
3.launge
4.dining
5.jiko
6.store na
7.public toilet

Floor ya pili
Vyumba vitatu vyote master.

Wahi sasa! Uchore nasi!
 
Tuna design unacho hitaji

Frem za biashara

Supermarket
Hardware
Gas point

Piga 067819514
Wasap:0766195115
Email:sirajimsilanga55@gmail.com

Karibuni sana wakuu tutakufanyia kazi yako kwa uaminifu,kwa muda tuliopanga na kwa uaminifu wa hali ya juu malipo unatoa advance nakumalizia unapo ipata kazi yako.
 
Sasa umeanza kujua namna ya kutangaza biashara kwa kuweka details. Inagharimu kiasi gani hii mpaka unikabidhi funguo kwa mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…