sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,540
- 865
- Thread starter
- #201
Chora nasi kwa gharama nafuu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kuna software wanatumia kuchora.Hizo picha ni stage ya Mwisho huwa wanafanya "rendering" ya mchoro ukiwa katika 3D.Mimi ndiyo maana sipendo ma-architect wa Tanzania kwa sababu ya ujinga wao wa kukariri vitu. Kuna architect wangu mmoja nilimpa kazi ya kunichorea nyumba akaja na picha hizi hizi, nikamwambia kwanini asinichoree picha ya nyumba kutokana na jinsi nilivyomtajia mahitaji yangu? Akanidanganya kuwa yeye kachora hizi picha, bullshit. Hizi ni picha toka kwenye software ambayo ma architect wengi hapa Tanzania wanapeana. Wakinyimwa kazi wanalalamika kuwa hakuna soko wakati wao wenyewe si wabunifu, they are useless.
Kaka huyo uliemtafuta inawezekana alikuwa mjanja mjanja hivi vitu tunafanya wenyewe kabisa njoo na karibu tukufanyie kazi yako kwa umakini na kwa muda muafaka kabisa.Mimi ndiyo maana sipendo ma-architect wa Tanzania kwa sababu ya ujinga wao wa kukariri vitu. Kuna architect wangu mmoja nilimpa kazi ya kunichorea nyumba akaja na picha hizi hizi, nikamwambia kwanini asinichoree picha ya nyumba kutokana na jinsi nilivyomtajia mahitaji yangu? Akanidanganya kuwa yeye kachora hizi picha, bullshit. Hizi ni picha toka kwenye software ambayo ma architect wengi hapa Tanzania wanapeana. Wakinyimwa kazi wanalalamika kuwa hakuna soko wakati wao wenyewe si wabunifu, they are useless.
Nashukuru sana mkuu kwa kumsaidiaHapana kuna software wanatumia kuchora.Hizo picha ni stage ya Mwisho huwa wanafanya "rendering" ya mchoro ukiwa katika 3D.
Floor Plan, Elevations na Sections haziwezi kuwa katika muonekano huo.
Chora nasi kwa gharama nafuu
Tutakuchorea na kukupa ushauri kwa nyumba ambayo unahitaji
Tunaenda na muda na kufuata vilivyo maelekezo ya mteja wetu na tunakufanyia kazi kwa weledi mkubwa na uaminifu wa hali ya juu karibu sana tukuhudumie.
Piga 0678195114
Wasap:0766195115
Email:sirajimsilanga55@gmail.com
View attachment 1923975View attachment 1923976View attachment 1923977View attachment 1923978View attachment 1923979View attachment 1923980
Hizi ni 3d mkuu baada ya kuchora ramani ili kupata muonekano wa nyumba yako itakuvyokuwa kwa wanao jua ramani hii kitu si kigeni cause lazima iambatanishwe kwenye ramani yako karibu sana mkuuHizi ni picha au ramani za nyumba?
Sasa umeanza kujua namna ya kutangaza biashara kwa kuweka details. Inagharimu kiasi gani hii mpaka unikabidhi funguo kwa mwanza?Karibu tukuchoree ramani unayo ipenda
5 rooms all self contains
Lounge
Dining
Kitchen
Store and
Public toilet
Covered area 12.5,14
Piga 0678195114
Wasap:0766195115
Email:sirajimsilanga55@gmail.com
View attachment 1933245View attachment 1933246View attachment 1933247View attachment 1933248View attachment 1933249View attachment 1933250
Hii inagharimu 75million mkuuSasa umeanza kujua namna ya kutangaza biashara kwa kuweka details. Inagharimu kiasi gani hii mpaka unikabidhi funguo kwa mwanza?