Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Mkuu Msaada Floor plan yake nione ikoje wala isiwe na Vipimo Boss.AsanteVyumba viwili
Vyote self
Sebule
Dining
Jiko
Store
Piga
0689993661
0678195114
Wasap:
0766195115
Email:sirajimsilanga55@gmail.comView attachment 1949533View attachment 1949536View attachment 1949537View attachment 1949539View attachment 1949540View attachment 1949541View attachment 1949542View attachment 1949543View attachment 1949544
Utakuwa hujawahi kupata huduma ya kuchorewa ramanikwa ulimwengu huu bado kuna msukuma anaweka tangazo la kuuza bidhaa bila bei
Habari wakuu mm ni Quantity Surveyor au mkadiliaji majenzi nafanya kazi za uaandaaji wa matrials na BOQ itakayoweza kukujulisha unaitaji pesa kiasi gan kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako pia BOQ kwa ajili ya kuombea mkopo na mabo mengine,vilevile kuandaa raman na ujenzi wa nyumba ya bei nfuu na imara kabisa nicheki watsap au piga 0753757303 nipo DarNdio mkuu hata ukiwa dar tutakufanyia kazi yako kwa uaminifu karibu sana
Kwa mawasiliano zaidi waweza kunipigia 0678195114
Hii iko na rooms ngapi?Chora na Jenga nasi kwa gharama nafuu kabisa
View attachment 2340882
nichek watsap 0753757303 tuongee vizuriBoss hi iko
Hii iko na rooms ngapi?
Chora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa
Hii nyumba ina vyumba viwili
Master bedroom
Chumba kimoja Cha kawaida chenye choo
Sebule
Dining
Jiko
Store na
Public toilet
Karibuni sana wakuuView attachment 2314902
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Weka Public Toilet ndani mkuu, Kuna scenario, Mvua Kubwa yenye Radi Inapiga huko nje na Uko na wageni...ameitwa kujisaidia. Think About that.Mkuu sirajj johnn , Hii imeendana na kile nakitaka.
Nahitaji:
*Master bedroom
*Self bedroom (normal room yenye Choo)
*Sebule ( kubwa)
*Jiko
*Study room (library)
Kwa sample picture hiyo, inawezekana? Itahitaji kiasi gani cha pesa mpaka kukamilisha? Je Una samples zingine kuendana na mahitaji yangu?
Sihitaji public toilet wala store, ili kupunguza cost za ujenzi. Nyumba hii ni kwaajili ya bachelor life. Public toilet itakuwa nje for wageni.
Any advice is highly welcome
N.B: napendelea roofing ya kawaida (not contemporary)
Weka Public Toilet ndani mkuu, Kuna scenario, Mvua Kubwa yenye Radi Inapiga huko nje na Uko na wageni...ameitwa kujisaidia. Think About that.
Weka Public Toilet ndani mkuu, Kuna scenario, Mvua Kubwa yenye Radi Inapiga huko nje na Uko na wageni...ameitwa kujisaidia. Think About that.
Nataka ramani ya maishaPata ramani nzuri na za kisasa zaidi
Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla
Mawasiliano :0678195114
Email: sirajimsilanga55@gmail.com
View attachment 1855279View attachment 1855281View attachment 1855282
Hii nyumba ni ya vyumba vingapi, please nijulishe kuhusu dimensions zake kabla sijaamua.Chora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa
View attachment 2720959
Hyo + ufundi wote..?Kila kitu boss mpaka tunakabidhi ukihitaji kusimamia pia tutasimamia bossView attachment 2314446View attachment 2314448View attachment 2314449
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ofisi yenu inasimama kama kampuni au bado haijawa registered...?Ndio pamoja na ufundi kiongoz
Asantee sanaa mkuu...Iko registered huku haturuhusiwi kuweka majina ya kampuni
Karibu sana kiongozi