INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Habar
Ndio mkuu hata ukiwa dar tutakufanyia kazi yako kwa uaminifu karibu sana
Kwa mawasiliano zaidi waweza kunipigia 0678195114
Habari wakuu mm ni Quantity Surveyor au mkadiliaji majenzi nafanya kazi za uaandaaji wa matrials na BOQ itakayoweza kukujulisha unaitaji pesa kiasi gan kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako pia BOQ kwa ajili ya kuombea mkopo na mabo mengine,vilevile kuandaa raman na ujenzi wa nyumba ya bei nfuu na imara kabisa nicheki watsap au piga 0753757303 nipo Dar
 
Chora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa

Hii nyumba ina vyumba viwili

Master bedroom
Chumba kimoja Cha kawaida chenye choo
Sebule
Dining
Jiko
Store na
Public toilet

Karibuni sana wakuuView attachment 2314902

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Mkuu sirajj johnn , Hii imeendana na kile nakitaka.

Nahitaji:

*Master bedroom
*Self bedroom (normal room yenye Choo)
*Sebule ( kubwa)
*Jiko
*Study room (library)

Kwa sample picture hiyo, inawezekana? Itahitaji kiasi gani cha pesa mpaka kukamilisha? Je Una samples zingine kuendana na mahitaji yangu?

Sihitaji public toilet wala store, ili kupunguza cost za ujenzi. Nyumba hii ni kwaajili ya bachelor life. Public toilet itakuwa nje for wageni.

Any advice is highly welcome

N.B: napendelea roofing ya kawaida (not contemporary)
 
Weka Public Toilet ndani mkuu, Kuna scenario, Mvua Kubwa yenye Radi Inapiga huko nje na Uko na wageni...ameitwa kujisaidia. Think About that.
 
Weka Public Toilet ndani mkuu, Kuna scenario, Mvua Kubwa yenye Radi Inapiga huko nje na Uko na wageni...ameitwa kujisaidia. Think About that.

Thanks Sana mkuu. Good advice. I will take that into consideration.
 
Weka Public Toilet ndani mkuu, Kuna scenario, Mvua Kubwa yenye Radi Inapiga huko nje na Uko na wageni...ameitwa kujisaidia. Think About that.

Mkuu kama unazo picha/ramani for my desire, please share with us.

*Master bedroom
*Self bedroom
*Sebule kubwa
*Jiko
*Study room
*Public toilet (as per your advice)
 
Aliekwambia wote tunataka nyumba za box nani
 
Iko registered huku haturuhusiwi kuweka majina ya kampuni
Karibu sana kiongozi
Asantee sanaa mkuu...

Sorry kwa usumbufu...sijakuelewa kwanini hamruhusiwi kati mnafanya biashara na mnalipa kodi...
 
Back
Top Bottom