sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,540
- 865
- Thread starter
-
- #161
Wapi hapo umeona kuna kazi yakoUnakosea Sana kutumia kazi za wengine na kujifanya ni zako. Sio powa kabisa
@mkuzibuilders
Kama hii ina rooms ngapi ndani?Contemporary (non-roofing)gorofa moja View attachment 1855310View attachment 1855311View attachment 1855312
Vyumba vitanoKama hii ina rooms ngapi ndani?
ChiefChora nasi kwa gharama nafuu kabisa
View attachment 1920688
Utapata kwa 250,000 boq pamoja na mihuriChief
Ramani ya vyumba viwili kama hizi
Inakuwa bei gani
Hivi inawezekana Mihuri ikapigwa Dar lkn Ramani inapelekwa Tanga...?!Utapata kwa 250,000 boq pamoja na mihuri
Karibu sana mkuu
Inawezekana mkuu hakuna shakaHivi inawezekana Mihuri ikapigwa Dar lkn Ramani inapelekwa Tanga...?!