INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Chora nasi sasa kwa gharama nafuu
7bead90a9e1749779e0b9b926976abe4.jpg
 
Nimekipenda muonekano wake Mkuu, kwa Mwanza ramani na gharama za msingi zinaweza fikia kiasi gani? Na ni vyumba vingapi?
Hii ni vyumba vitatu
Master bedroom
Vyumba viwili vya kawaida
Sebule
Dining
Jiko
Store
Public toilet
In feat kwenye kiwanja 12*10 plot

Msingi gharama yake maximum ni 3,900,000 gharama hii inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na eneo lako.

Gharama ya ramani yake ni 250,000 plus boq 100,000 karibu sana mkuu.
 
Gharama ni pamoja na Muhuri?
 
Chora nasi kwa gharama nafuu sasa
Piga 0678195114

0689993661
62a5d3d886b74e52886bb9afef7b59e8.jpg
 
Back
Top Bottom