sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,540
- 865
- Thread starter
- #141
Chora nasi sasa kwa gharama nafuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu, nitakutafuta.Hii boss ina vyumba vinne
Master bedroom
Vyumba vitatu vya kawaida
Sebulen
Jiko
Dining
Store
Kwa dsm mpaka inakamilika 85million
Karibu sana boss
Ok shukran mkuu karibu sanaAhsante mkuu, nitakutafuta.
Nimekipenda muonekano wake Mkuu, kwa Mwanza ramani na gharama za msingi zinaweza fikia kiasi gani? Na ni vyumba vingapi?
Hii ni vyumba vitatuNimekipenda muonekano wake Mkuu, kwa Mwanza ramani na gharama za msingi zinaweza fikia kiasi gani? Na ni vyumba vingapi?
Gharama ni pamoja na Muhuri?Hii ni vyumba vitatu
Master bedroom
Vyumba viwili vya kawaida
Sebule
Dining
Jiko
Store
Public toilet
In feat kwenye kiwanja 12*10 plot
Msingi gharama yake maximum ni 3,900,000 gharama hii inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na eneo lako.
Gharama ya ramani yake ni 250,000 plus boq 100,000 karibu sana mkuu.
Ndio mkuu karibu sanaGharama ni pamoja na Muhuri?
Mi nataka ghorofa moja nitakutafuta mkwanjwa ukisoma.Ndio mkuu karibu sana
Ok shukran sana mkuuMi nataka ghorofa moja nitakutafuta mkwanjwa ukisoma.
Hii hapa nimeipenda sana raman yake uko nayo? Nipatie sample nione mkuuPata ramani nzuri na za kisasa zaidi
Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla
Mawasiliano :0678195114
Email: sirajimsilanga55@gmail.com
View attachment 1855279View attachment 1855281View attachment 1855282
Ok nitumie number yako ya wasap nikutumie bossHii hapa nimeipenda sana raman yake uko nayo? Nipatie sample nione mkuu