INAUZWA Pata TILES bora kutoka Twyford

INAUZWA Pata TILES bora kutoka Twyford

Noel G

Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
20
Reaction score
15
Jipatie tiles aina mbalimbali
Kwa size 60*60, 50*50, 40*40, 30*30, 25*40
Kwa bei 50*50 _tsh 38000 kwa box..Grada A
Kwa bei 40*40 _tsh 28000, 24000 ,23000
•SQM
60*60_Sqm 1.44
50*50_Sqm 1.75
40*40_Sqm 1.92
30*30_Sqm 1.53
IMG_20210525_191312_352.jpg


IMG_20210518_151027.jpg
 
Kwa Mawasiliano zaidi..
Contact: 0623152344
 
Grade nyingine zinauzwaje? Issue ya kupishana size ndani ya box moja inakua ni grade ipi
 
Kwa hapa sisi tunazo Grada A na B tuh..kwa bei zinapisha 1000
 
Hapa ndio naishiwa pose la hizi tiles,bora uweke sakafu ya kawaidq au carpet tu.Maana unaweza kujikaza ukanunua tiles,kumbe famba.Baada ya muda unaona zinatengeneza njia ya kwenda jikoni au chooni
Sure, ni bora upige skafu ya kawaida ya niru kisha ukapiga carpet manyoya.
 
Box moja 50 x 50 lina cover meters ngapi za mraba?
 
... ex wapi hizo tiles? Box lina sq mita ngapi?
 
Back
Top Bottom