Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... kuepuka kila mtu kuuliza same question over and over again, ingekuwa vizuri pale juu ungefafanua kwa kila aina ya tiles, box linabeba sqm ngapi. Sqm ni parameter muhimu sana kumwezesha mteja kufikia maamuzi badala ya kuulizauliza.Aina gani ya tiles mkuu? Nikupe sqm zake
... kuepuka kila mtu kuuliza same question over and over again, ingekuwa vizuri pale juu ungefafanua kwa kila aina ya tiles, box linabeba sqm ngapi. Sqm ni parameter muhimu sana kumwezesha mteja kufikia maamuzi badala ya kuulizauliza.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapa ndio naishiwa pose la hizi tiles,bora uweke sakafu ya kawaidq au carpet tu.Maana unaweza kujikaza ukanunua tiles,kumbe famba.Baada ya muda unaona zinatengeneza njia ya kwenda jikoni au chooni
Embu niweke mambo sawa maana kunawanaopenda vya bei hadi basiYeah Grade C bei yake iko chini sana lkn zinaudhaifu flani ivi
Zinatoka hapo chalinze... ex wapi hizo tiles? Box lina sq mita ngapi?
Wachache sana hao mafundi siku hizi,Anayemjua fundi mzuri wa Terrazzo, tupeane taarifa!
Mkuu izi tiles utazijuaje grade A na B
naona hii haijajibiwa mpaka leoWakuu,size nzuri ya tiles kwa sitting room na vyumbani kwa nyumba kubwa ya vyumba vitano ni size gani?...Naomba pia reccommendations ya size bora ya tiles kwa jikoni na vyooni