INAUZWA Pata TILES bora kutoka Twyford

INAUZWA Pata TILES bora kutoka Twyford

Aina gani ya tiles mkuu? Nikupe sqm zake
... kuepuka kila mtu kuuliza same question over and over again, ingekuwa vizuri pale juu ungefafanua kwa kila aina ya tiles, box linabeba sqm ngapi. Sqm ni parameter muhimu sana kumwezesha mteja kufikia maamuzi badala ya kuulizauliza.
 
Ok poapoa mkuu
 
Anayemjua fundi mzuri wa Terrazzo, tupeane taarifa!
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Pata hii Tiles ya 50*50 ( Draft ) kwa kupendezesha sitting room yako kwa Tsh 38000 kwa box

IMG_20210529_173302.jpg
 
Hapa ndio naishiwa pose la hizi tiles,bora uweke sakafu ya kawaidq au carpet tu.Maana unaweza kujikaza ukanunua tiles,kumbe famba.Baada ya muda unaona zinatengeneza njia ya kwenda jikoni au chooni
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wakuu,size nzuri ya tiles kwa sitting room na vyumbani kwa nyumba kubwa ya vyumba vitano ni size gani?...Naomba pia reccommendations ya size bora ya tiles kwa jikoni na vyooni
 
Wakuu,size nzuri ya tiles kwa sitting room na vyumbani kwa nyumba kubwa ya vyumba vitano ni size gani?...Naomba pia reccommendations ya size bora ya tiles kwa jikoni na vyooni
naona hii haijajibiwa mpaka leo
 
Back
Top Bottom