Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

Ila sikumbuki Kama wasema unaweza kulinganisha watu 65,nakumbuka wamesema unaweza ku connect DEVICE 65
Kwahiyo wananipa unlimited ili niwe na connect devices zangu binafsi 65 kweli kaka? Hapana si hivyo, haipo hivyo mkuu!
 
Kwahiyo wananipa unlimited ili niwe na connect devices zangu binafsi 65 kweli kaka? Hapana si hivyo, haipo hivyo mkuu!
Hujui unachoongea ngoja nikuache tu,nimeuliza kuhusu Azam,inaruhusiwa kuwaunganisha watu na decoder Yako??
 
 
FEEDBACK KUTOKA KWA MTEJA

kuna mwenzetu mmoja yeye baada ya kuona hili wazo aliamua aanze Kwanza kuwaulizia watu wanaotumia internet kama watakua tayari akiona uhitaji wa watu upo ndo achukue kifaa. Sasa kwa juzi na jana tuu, watu aliowapata wenye uhitaji huo ni 22.
Hapo akichukua kifaa anachukua akiwa tayari na soko la kuanzia ambapo ana faida yake 120%.
Naomba niambatanishe na screen shot!
 

Attachments

  • Polish_20240422_084519160.jpg
    377.3 KB · Views: 23
Wazo zuri San mkuu mm nimezungukwa na boda boda ningekuwa mjini faster Sana ningekucheki
 
Hujui unachoongea ngoja nikuache tu,nimeuliza kuhusu Azam,inaruhusiwa kuwaunganisha watu na decoder Yako??
Mfano wako hauendani na huduma hii, kupata uhakika kama inaruhusiwa au hairuhusiwi nitakutafutia ile contract ya hii huduma kisha utaona kama it's possible kufanyika au kufanya hii biashara itaenda against the contract. Wewe unazungumzia mfano ambao unahusiana na product nyingine ambayo ipo kundi tofaut kabisa na mtandao wa sim, mfano sahihi ungetakiwa uwe hivi: labda V0da wamekataza hii huduma wakawa wanamtoza faini anayefanya hivi, basi nikiwa mm nazungumzia hiyo huduma kwa TîG0, unaweza ukasema ni kosa na ukatolea mfano voda cause hao wapo kundi moja la products wanazotoa, ila mtandao wa sim na madishi ni vitu tofaut kabisa hakuna ufanano hata kidogo kwenye product zao.
 
Mimi nahitaji huduma hii ila ni kwa mtandao wa voda. Nataka nitoe huduma hii kijijini kwangu ambako kuna mtandao wa voda tu. Vipi inawezekana? Kama haiwezekani nisaidie namna ya kuwapata watoa huduma hii kwa upande wa voda.
 
Mkuu hiyo router inaweza kutoa huduma umbali kiasi gani kutoka ilipo
 
Kwa haya maelezo ukisema unlimited unamaanisha nini?
 
Hizi sio ndio janja janja zenyewe. Lol. Maelezeo yameeleweka.
 
Ila sikumbuki Kama wasema unaweza kulinganisha watu 65,nakumbuka wamesema unaweza ku connect DEVICE 65
Hapa nakubali, mana kweli mtu mmoja anaweza kutumia device zaidi ya moja, mfano sim na pc
 
Mkuu Umeongea kwa jazba sana kijana atakua kakuelewa lkn
 
Hiyo wifi inauzwa bei gani
 
Kwanini wewe usifungue iyo biashara?
 
Mkuu,
Usijifunge kifikra wenzetu wapo mbele ya muda..

Kule NAIRALAND (mtandao wa Nigeria) haya mawazo nilianza kuyasoma miaka mi 5 iliyopita..

Tumechelewa Sana in Jpm voice
Kupata access ya intwrnet ni lazima mteja awe karibu na eneo ambapo router imefungwa kuna wateja ku-share password au code umeunganisha watu watano ila mtandao unasoma watu 20 wapo online 😀😀
 
Kupata access ya intwrnet ni lazima mteja awe karibu na eneo ambapo router imefungwa kuna wateja ku-share password au code umeunganisha watu watano ila mtandao unasoma watu 20 wapo online 😀😀
Watu ishirini wanaweza kwenda YouTube na kuangalia video ya 720p at the same time kwa internet ya 30Mbps?
 
iko hiv Acha kuwapotosha watu ww hii internet unayoeleza ww. Haina security yakutosha zaid Tu utakua unawauzia na unaibiwa pia hapa kuna vifaa unapaswa utumie Yan WiFi management system sjui kama unanielew Fanya WiFi management system hapa zipo nyingi kuna omada na n.k lkn ukiuza kiholela utaibiwa had ulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…