Sasa kuna kitu hujakijua vizuri hua mitandao mingi inakua na data behind yani mfano kwenye unlimited wanayokupa behinde wanakupa gb 100 kwa mwezi so hua zile gb 100 utakua na uwezo wa kuzitumia kwa 20mbps zikiisha gb 100 mtandao unashuka hadi 2mbps au 1mbps ambayo mkikonnect hata zaidi ya watatu tuu lazima mtandao uende speed ya kobe. KWA UPANDE WANGU, router ninazoziongelea hua zenyewe behinde unapewa Gbs ambazo zimewekwa kwa mfumo ambao ni daily bases, yani mfano kwa siku unaingiziwa gb 40 hizo zitakua zinaenda na speed ya 20MBps zikiisha ndani ya siku hiyo mtandao utarudi hadi 2 mbps, kesho tena 40gb zinatumika kwa speed ya 20mbps zikiisha mtandao utarudi hadi 2 mbps, advantage ya hii ni kua mpaka gb za kutumika kwa speed kubwa ziishe utakuta siku nayo inakaribia kuisha yan unakuta labda ni saa nne au saa tano usiku so ikifika tuu saa sita siku nyingine imeanza na gb za kutumika kwa speed kubwa zinakua zishakua active, so kama ni watu umewawekea hii wata kua na mda mchache sana wa kua na bando lenye speed ndogo kitu ambacho hata wao wanaweza wasishtukie kabisa. Mkuu sijakurupuka. Najua IN AND OUT kuhusiana na hizi Mambo. Mitanda0 pinzani mnisamehe kwa kutoa hii siri ambayo watumiaj wengi wa router hawaijui. Mwenye swali zaidi karibu niulize hapo chini au nipigie kwa no 0717700921