Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

Utaishia kugombana na watu bure tu, hii mitandao yetu Ina janja janga sana, watakuambia unlimited bundle ila wakishatumia gbs kadhaa ndani ya hata wiki speed ya bundle itakua slow kuzidi hata Kobe, hapo ndo watu wataruka na wewe kama mwewe
Upo sahihi kabisa kaka.

Halotel walikuwa na kifurushi Cha unlimited ila sasa kimepoteza sifa ya kuitwa unlimited..
Watu wengi tunalia sasa 😭
 
Kupata access ya intwrnet ni lazima mteja awe karibu na eneo ambapo router imefungwa kuna wateja ku-share password au code umeunganisha watu watano ila mtandao unasoma watu 20 wapo online πŸ˜€πŸ˜€
Aaaa ww mm nauza WiFi huo upuuz nauju lkn natumia WiFi management system ambayo inamlimit mteja atumie internet Kwa MDA gani pia hata kama ikitokea kascan Kwa mwenzie Sawa itaconnect lkn hatopata internet access mbk aje kwangu nmpe code akijaza ndo anapata internet access umeona then hapo hizo code unakuta nmezitengeneza hiv itumike Kwa MDA flan the ijizime atumie mb kazaa pia ikishajazwa haitawez kutumia tena hata kama akiigawa Kwa mwingine ikishatumika imetumika unaonaj niujanja Tu ukikurupuka utaibiwa kila day aisee
Upo sahihi kabisa kaka.

Halotel walikuwa na kifurushi Cha unlimited ila sasa kimepoteza sifa ya kuitwa unlimited..
Watu wengi tunalia sasa 😭
Isp nzr ni Vodacom
 
amna hapo ni kwa airtel tu ndo wanahuo upuuz ila vodacom mm naanza na mbps na 30 namaliza na 30 haijawai kupungua
 
Kuna mtu pale mabibo hostel.
Yeye anasamabaza WI-FI pia lakini
ili upate huduma yake unatakiwa UNUNUE VOCHA.
ana vocha zake anauza shilingi elfu 1.
kwa saa 24 utatumia WI-FI hiyo
so huko mbn watu wengi huo mfumo tunafanya ni simple tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…