Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

mkuu kikubwa kwenye biashara ya ufugaji angalia vitu vifuatavyo product yako and how to brand them pili fuga bata tofauti na wenzako wanavyofuga.Pili hakikisha unafnya SWOT analysis in advance ya kujua changamoto fursa na potential customers wako ni wa kina nani na uwe flexible kuchange mara kwa mara
 
Jibu zuri @Ramea,pia hakikisha dume moja likipanda Mara mbili uza au chinja maana yake wanatakiwa wasije kupandana damu moja,maana ikiwa wamepandana koo moja lazima kaugonjwa kakiwapitia either kutokana na bacteria au viruses lazima watakufa karibu wote
Je ikiwa wamepandana bata wa mzao mmoja na nimewapa chanjo dhidi ya bacteria na hao fungus naweza kuwaokoa na vifo?
 
Ujasiriamali sio swala la kitoto hata siku moja na sio sehemu ya Show au sehemu ya kutafutia pesa ya kupambana na wabaya wako.

Kuna watu huingia kwa nia ya kutafuta pesa ya kuwaonyesha wabaya wao.

Watu huambiwa kitu fulani kinalipa na hii neno kinalipa ndo huwa inacost watu.

Hakuna kiti inaitwa inalipa. Kama unacho kifanya hakijatatua changamoto za jamii basi hiyo inalipa utaisikia na ndo pale ndani ya mwaka mtu anafanya biashara 10.

Leo tikikitika anaona sio baadae vitunguuu napo anakinbia anaingia kwebye Tango abapiga anaona sio anaingia kwebye kuku wa mayai anapiga anaona ngumu anaacha anaanza kuiza asali nako anapiga anakimbia.

UJASIRIANALI SIO SWALA LA KITOTO INAHITAJI COMMTMENT ISIYO YA KAWAIDA

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa maneno mazuri ila inakuwa vyema kutiana moyo, sio kutishiana.
 
Km inawezekana naomba tutajie changamoto kubwa ulizokutana nazo utakua umetusaidia sisi wenye ndoto za kufuga baadae
Uwezekano upo ...
1. KInachoandikwa kwenye vitabu ni tofauti kabisa na kinachofanyika shambani, mfano .. mda wa kuku wa kienyeji kuanza kutaga tumeandikiwa miezi 4 - 6 .. huo ni uongo ... anaenda mpaka miezi 8 hata kama umlishe vipi.
Na hilo ndo linaongeza gharama ya hawa viumbe.
 
Kama kuna jamii ya wa jina unayoifahamu hawa jamaa ni wala ki waziri wa bara na nguruwe
 
Kama kuna jamii ya wa jina unayoifahamu hawa jamaa ni wala ki waziri wa bata na nguruwe
 
Back
Top Bottom