Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitomari, hawa ni pure kienyeji au chorara, naomba uniambie Bei ya kifaranga kimoja ... mimi nipo dar ... nifahamishe pia kuhusu usafirishaji[/QUOT
Hawa kuku ni kama walivyo Rhodes Island Red na ni kuku wa kisasa na huwa wanatumika kufanya crossing. Jaribu kuwa google, mimi nina detail zao ila niko mbali sana hivyo kesho nitawawekea. Ila huyo Kitomari anajaribu kudanganya. Ainishe sifa zake zote.
Majogoo wa Rhodes Island Red ni wazuri kwenye kucross kuliko hawa. Hao ni Rangi tu nyeupe.

mh! Ivi wakisasa hutaga akiwa na mda gani? Pili hawa wakwangu sjaanza leo kuuzaz vifaranga hawa
Nikuku wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu 0757662401
Je hao unao wataja ndo hawa hawa tunao wajua? Sikiliza weka sifa zao zote and then ndo nitarudi kuchangia. Kumbuka kuna google mkuu.
Amini wewe si mimi si u google uwaone sifa zao? Napinga ninacho kijua, si kurupuki,that is why nasema mkuu aweke sifa zao zote na kama hana aingie google achukue.sisi watanzania tuna roo za kwanini sana ulishawai fuga kuku kweli au umeanza jana yaani mimi mwenyewe naamini alisemalo mshikaji
Kuhusu kuwafuga nawafuga sana tu. Na naeajua miaka mingi sana na ninacho pinga ni upotoshaji. Nitakuwekeeni kesho detail zao zote na hadi picha.sisi watanzania tuna roo za kwanini sana ulishawai fuga kuku kweli au umeanza jana yaani mimi mwenyewe naamini alisemalo mshikaji