culboy JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 526 Reaction score 47 Sep 22, 2013 Thread starter #101 POUTRY FARM said: habari bwana kitomary hawa kuku wa izrael wanaeza ishi ukanda wetu huku Dar je nao nikama hawa ligth sussex asant Click to expand... hawa kuku wanakua wakubwa kidogo ya light sussex wako kama parrent stock kwa ukubwa na umbo lao
POUTRY FARM said: habari bwana kitomary hawa kuku wa izrael wanaeza ishi ukanda wetu huku Dar je nao nikama hawa ligth sussex asant Click to expand... hawa kuku wanakua wakubwa kidogo ya light sussex wako kama parrent stock kwa ukubwa na umbo lao
culboy JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 526 Reaction score 47 Sep 22, 2013 Thread starter #102 tawary said: hawa ndio kuku ambao hata mtu wa hali ya chini sana wanaeza kumsaidia hata rangi yake inamvuto Click to expand... nataka kujua hawa kuku naeza kuchanganya aina zote kwenye banda moja zikaendana
tawary said: hawa ndio kuku ambao hata mtu wa hali ya chini sana wanaeza kumsaidia hata rangi yake inamvuto Click to expand... nataka kujua hawa kuku naeza kuchanganya aina zote kwenye banda moja zikaendana
culboy JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 526 Reaction score 47 Sep 22, 2013 Thread starter #103 Safari_ni_Safari said: Light Sussex Click to expand... mana nataka kuwatenga sasa ila hawa waizraeli ni yanakua mazito mno sasa
Safari_ni_Safari said: Light Sussex Click to expand... mana nataka kuwatenga sasa ila hawa waizraeli ni yanakua mazito mno sasa
A Aneman Member Joined Feb 10, 2012 Posts 24 Reaction score 5 Sep 25, 2013 #104 Unapatikana wapi bwana kitomary? Ni hapa Dar au ni mkoani?
africando Member Joined Sep 29, 2013 Posts 17 Reaction score 9 Sep 29, 2013 #106 Zipuwawa said: View attachment 113695 Click to expand... mheshimiwa ongera sana kuku wako wanakimbia vizuri mno wanatamanisha kuongezea nyingine big up! Sasa zinatetea
Zipuwawa said: View attachment 113695 Click to expand... mheshimiwa ongera sana kuku wako wanakimbia vizuri mno wanatamanisha kuongezea nyingine big up! Sasa zinatetea