Pata Vifaranga aina ya light sussex

Pata Vifaranga aina ya light sussex

Mkuu Kitomari hiyo elfu mbili ni kunifikishia mpaka kahama.
Na utaratibu wa malipo inakuaje?
Means, ninalipa kabla ya kutumiwa mzigo au mzigo unakuja ndio nalipa au inakuaje?
 
Jaman hawa Vifaranga wa Interchick kama ukinunua wanakua baada ya muda gan na je utagaji wao unakuaje?
 
Mkuu Kitomari hiyo elfu mbili ni kunifikishia mpaka kahama.
Na utaratibu wa malipo inakuaje?
Means, ninalipa kabla ya kutumiwa mzigo au mzigo unakuja ndio nalipa au inakuaje?

bei ni moja tu kifaranga gharama za usafirishaji tutagawana tu gharama
 
Nikuku machotara light sussex wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu pia pata bata mzinga na bata bukini pia wanapatikana 0757662401

daaah kitomary wanakua vyema kweeli nimewapenda bure wanaweak tatu utadhai wanamiezi mitatu
 
Kuna shamba niumeme tu sjamaliza kufunga nitaitaji hawa susex wengine kama elfu 2 ivi sasa sjui kama jamaa zako watawabeba oote hawa niliochukua wamekua vizuri sana bwana
 
nade wafugia wapi ww
 
Baada ya kusoma kwa muda mrefu thread hii. Tulijaribu kufuga na mke wangu kuku aina kenbro kama 50 hivi. Tena tulishinikizwa na rafiki yetu. Sasa tunao 18 baada ya kuuza majogoo kadhaa. Aisee tunapiga mayai!! Kwa siku tunaokota 7-9. Sasa tutaingia rasmi kwenye huu mgodi tunajipanga.
 
watanzania kama hawa ni wachache wanatakiwa wasaidie sana sana watu walioko kijijini
 
Nikuku machotara light sussex wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu pia pata bata mzinga na bata bukini pia wanapatikana 0757662401

kitomari nataka nikupe order tena kubwa wasi wasi wangu weaki hii unao vifaranga?
 
kitomari2 habari ya kazi.
naomba kukuuliza mawwali machache.
1. mimi nataka kuanza na vifaranga 500 mwisho wa mwaka huu, je nitapata?
2. je, nitahitaji Banda lenye ukubwa gani kutoshea kuku 500 mpaka wanaanza kutaga?
3. je kuku hawa naweza kuwafungia ndani tu bila kuwafungulia, kama ni ndio ni chakula gani napaswa kuwapa.
nakushukuru sana
 
Last edited by a moderator:
kitomari nataka nikupe order tena kubwa wasi wasi wangu weaki hii unao vifaranga?

utapata ndugu leo asubuhi nimepanga kwenye hatcher kama trey 60 nayalikua yameanza teari jioni hii
 
eneo langu ni dogo tu ningechukua pic ingine ukiwaona wanavyokua vyema wanatamanisha kua na elfu kazaaa
 
Baada ya kusoma kwa muda mrefu thread hii. Tulijaribu kufuga na mke wangu kuku aina kenbro kama 50 hivi. Tena tulishinikizwa na rafiki yetu. Sasa tunao 18 baada ya kuuza majogoo kadhaa. Aisee tunapiga mayai!! Kwa siku tunaokota 7-9. Sasa tutaingia rasmi kwenye huu mgodi tunajipanga.

ivi ndio vitu vya maana vya kuekeza ktk maisha
 
Nawasalimu wote , je naweza kupata jogoo ili niweze kufanya cross breeding na wale wa kienyeji pure?
 
Mkuu vipi nikitaka mayai kwa ajili ya kuengua naweza kupata?
 
Back
Top Bottom