Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna semina ya madawa ya kuku arusha tutakutafuta bwana kitomari
kuna antibiotic inaitwa tetracolivit nidawa poa sana tumia utaona majibu baada ya siku 3 mpk 5
Ndio hakikisha banda halimwagi maji bandani kabisa liwe na randa kavu kila wakati pia unaeza wapa hata kuku wako wakubwa pia
utapata ndugu
Ukipenda weupe utawapata ukipenda weusi pia wapo uzuri wa hawa kuku wanataga sana
Mkuu Kitomari,
Mimi nipo Kahama,Shinyanga unaweza kunitumia hao aina Light Sussex pamoja na hiyo type ya Israel?
Kama jibu ni ndio tafadhali naomba uni-PM bei ya mpaka kunifikishia Kahama naitaji Hamsini kwa kila type.
Thanks in advance mkuu