Pata Vifaranga aina ya light sussex

habari bwana kitomary hawa kuku wa izrael wanaeza ishi ukanda wetu huku Dar je nao nikama hawa ligth sussex asant

hawa kuku wanakua wakubwa kidogo ya light sussex wako kama parrent stock kwa ukubwa na umbo lao
 
hawa ndio kuku ambao hata mtu wa hali ya chini sana wanaeza kumsaidia hata rangi yake inamvuto

nataka kujua hawa kuku naeza kuchanganya aina zote kwenye banda moja zikaendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…