Pata vifungashio vya mifuko aina ya salfeti yenye nembo yako

Pata vifungashio vya mifuko aina ya salfeti yenye nembo yako

Braza POPO

Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
39
Reaction score
12
Habari wana JF, wale wakulima na wadau wa sekta ya kilimo, nawakaribisha sana katika huduma ya kuprinti mifuko ya kuwekea mazao na vyakula vya kuku na wanyama, bei zetu ni nzuri na ubora wa rangi katika mifuko ni unajulikana kwa shuhuda za wateja wetu. Mashine yetu ni ya kisasa na unaweza kuprintiwa kuanzia rangi 1 mpaka 4, kwa sasa tuko Dsm opposite na Mlimani City.
Karibuni sana kwa kupiga simu sasa 0717 367 693
 

Attachments

  • 20170913_102253.jpg
    20170913_102253.jpg
    67.2 KB · Views: 455
Habari wana JF, wale wakulima na wadau wa sekta ya kilimo, nawakaribisha sana katika huduma ya kuprinti mifuko ya kuwekea mazao na vyakula vya kuku na wanyama, bei zetu ni nzuri na ubora wa rangi katika mifuko ni unajulikana kwa shuhuda za wateja wetu. Mashine yetu ni ya kisasa na unaweza kuprintiwa kuanzia rangi 1 mpaka 4, kwa sasa tuko Dsm opposite na Mlimani City. Karibuni sana kwa kupiga simu sasa 0717 367 693
 

Attachments

  • 20170913_102253.jpg
    20170913_102253.jpg
    67.2 KB · Views: 259
Habari wana JF, wale wakulima na wadau wa sekta ya kilimo, nawakaribisha sana katika huduma ya kuprinti mifuko ya kuwekea mazao na vyakula vya kuku na wanyama, bei zetu ni nzuri na ubora wa rangi katika mifuko ni unajulikana kwa shuhuda za wateja wetu. Mashine yetu ni ya kisasa na unaweza kuprintiwa kuanzia rangi 1 mpaka 4, kwa sasa tuko Dsm opposite na Mlimani City. Karibuni sana kwa kupiga simu sasa 0717 367 693
 
Ingekuwa vizuri ukaweka na sample za kazi zako mkuu,nafikiri tangazo lingekua limekamilika zaidi
 
Ni vema kuanisha yafuatayo;-
  • kuweka bei ya huduma na ukubwa (Dimension) wa mifuko mashine yako inaweza kuprinti
  • Mifuko mteja anakuja nayo then mna mprinti au mifuko mnayo na pia mnaprinti.
 
Vipi kuhusu mifuko ya nailoni, plastic au mabox, mnaprint?
 
bei mfuko kilo 25 wa unga kuprint mifuko kama 100... Rangi 1 makadirio ya kawaida nisiwe na chini ya sh ngapi..?

Agro Business Iringa
 
bei mfuko kilo 25 wa unga kuprint mifuko kama 100... Rangi 1 makadirio ya kawaida nisiwe na chini ya sh ngapi..?

Agro Business Iringa
Ok, mifuko 25kg kwa hzo piece 100 rangi moja usiwe na chini ya 51,000
 
Bei zenu zikoje endapo nitahitaji mifuko ya kuwekea mchele ya kilo 2 na kilo 5
 
Back
Top Bottom