Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
Mi ningekua ndio wewe mleta mada ningefanya yafuatayo,
1) Ningeweka Ujazo mbalimbali ambao tunatengeneza na Bei zake kwa kila moja.
2) Pia ningeweka bei za Mteja akija na mifuko yake na Bei za mifuko ikitoka kwetu.
3) Ningeweka na bei za sisi ku design nembo ya kuweka kwenye mifuko.
Ila kwa sababu Mimi ni Shark na wewe ni Braza POPO basi wacha tangazo libaki hivi hivi kama ulivyoliweka