Braza POPO
Member
- Sep 7, 2017
- 39
- 12
Swali zuriVipi kuhusu mifuko ya nailoni, plastic au mabox, mnaprint?
Boss hapana hiyo hatuprinti, ni sandalusi tuuu,.....Vipi kuhusu mifuko ya nailoni, plastic au mabox, mnaprint?
Ok, mifuko 25kg kwa hzo piece 100 rangi moja usiwe na chini ya 51,000bei mfuko kilo 25 wa unga kuprint mifuko kama 100... Rangi 1 makadirio ya kawaida nisiwe na chini ya sh ngapi..?
Agro Business Iringa
Kwa maelezo zaidi kama ungependa kufahamu njoo 0717367693Ok, mifuko 25kg kwa hzo piece 100 rangi moja usiwe na chini ya 51,000
sawa bossWeka picha
Asante mkuu, Wasiliana na namba hizo hapo kwa maelezo zaidiBei zenu zikoje endapo nitahitaji mifuko ya kuwekea mchele ya kilo 2 na kilo 5