Wasiliana na wauzaji kwa namba za kwenye mifuko hapo bossVp mifuko ya kilo 25 & 50 kwa sembe ni bei gani?
madalali huwa wana haribu biashara kwa kiasi kikubwa...
hewani kivip tenaaNingeshangaa sana! Yaani POPO atoe tangazo la maana kabisa? Haiwezekani! Ndo maana tangazo limebaki hewani tu!
Hapana hawatengnez hivyo, hapa ni mifuko tuu kama utaipa kaz hyo mifuko mfano ya 5kg maana huwa ina handle itakuchkua kazi kama vibebeo lakin hatuna hyoVizuri, mtengeneze na vibebeo vidogo vya watu kuendeo sokoni na dukani ili tuachane na mifuko ya plastiki
Mkuu Braza POPO hujaweka bei ya hivyo vifungashio! Ndo maana nasema tangazo limeandikwa na POPO na limebaki hewani! Kwanini huwa mnapenda kuwaacha watu hewani? Eti mpaka tena walazimike kukutafuta, wakati ungekuwa umeweka bei hapo sasa hivi ungekuwa unapokea order tu!!hewani kivip tenaa
Kama umeshwahi kufanya biashara utagundua kuweka bei hadharani si kitu kizuri.Tunahitaji huduma. WEKA NA BEI HADHARANI
Mi ningekua ndio wewe mleta mada ningefanya yafuatayo,
1) Ningeweka Ujazo mbalimbali ambao tunatengeneza na Bei zake kwa kila moja.
2) Pia ningeweka bei za Mteja akija na mifuko yake na Bei za mifuko ikitoka kwetu.
3) Ningeweka na bei za sisi ku design nembo ya kuweka kwenye mifuko.
Ila kwa sababu Mimi ni Shark na wewe ni Braza POPO basi wacha tangazo libaki hivi hivi kama ulivyoliweka
Kama umeshwahi kufanya biashara utagundua kuweka bei hadharani si kitu kizuri.
1.) Bei mara nyingi huwa negotiable kulingana na quantity anayohitaji mteja.
2.) Biashara nyingi huendeshwa na madalali, hivyo kuweka bei ni kufukuza madalali ambao ndio hasa hutafuta wateja.
3.) Gharama za uzalishaji hupanda na kushuka periodically, hivyo kuji-commit kwenye bei moja ni kujitia kitanzi
Mkuu Braza POPO hujaweka bei ya hivyo vifungashio! Ndo maana nasema tangazo limeandikwa na POPO na limebaki hewani! Kwanini huwa mnapenda kuwaacha watu hewani? Eti mpaka tena walazimike kukutafuta, wakati ungekuwa umeweka bei hapo sasa hivi ungekuwa unapokea order tu!!
Safi sana mwanauchumi wangu.........Kama umeshwahi kufanya biashara utagundua kuweka bei hadharani si kitu kizuri.
1.) Bei mara nyingi huwa negotiable kulingana na quantity anayohitaji mteja.
2.) Biashara nyingi huendeshwa na madalali, hivyo kuweka bei ni kufukuza madalali ambao ndio hasa hutafuta wateja.
3.) Gharama za uzalishaji hupanda na kushuka periodically, hivyo kuji-commit kwenye bei moja ni kujitia kitanzi