Ww kama unaogopa kuweka bei unasubir mteja aingizwe mjini kwanza we funguka upate wateja
Una print tu au na vifungashio unavyoGROSAWE TANZANIA LTD inatoa huduma ya kutengeneza mifuko ya kupaki unga, chumvi, chokaa, mchele, vyakula vya mifugo, n.k.
>Tunatumia mashine za kisasa na rangi bora
>Kama huna nembo tunakutengenezea
>Tumesajiliwa na BRELA
>Bei zetu ni nafuu sana
>Tunapatikana Mwenge jirani na Mlimani City Dar Es Salaam
View attachment 631189 View attachment 631190 View attachment 631191 View attachment 631192
Thanks boss