Pata viwanja vilivyopimwa Bagamoyo kwa bei chee

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Wadau viwanja vinauzwa, ni njia ya kwenda Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam, vimepimwa,idadi yake ni 80 kila kimoja kina hati, ukubwa ni kuanzia square mt 650-1500. Bei 13,000,000.

Lakini pia tunakaribisha wawekezaji, kama mtu au taasisi,anaweza kununua vyote 80 kwa pamoja. Kwa bei ya jumla kiwanja ni 7,500,000. Mahali vilipo eneo linaitwa Ukuni ni njia ya Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam kabla ya kufika Bagamoyo.

Kwa mawasiliano piga 0773 944 944. Karibuni sana, meza ya mazungumuzo iko wazi.
 
Kwa wale wanaopiga simu kuuliza, kifupi idadi ya viwanja havipungui 80 na kila kiwanja kina hati si zile za makizi bali title.
 
Bei ni moja bila kujali ukubwa wa kiwanja? Kama nimeelewa vizuri kiwanja cha sqm 800 ni 13M na cha sqm 1500 ni 13M. Ufafanuzi mkuu Bizney
 
Viwanja vipo Bagamoyo,ni jirani na chuo cha Ukuni eneo linaitwa Kitopeni. Ni block H.kushoto kama unatoka Dar kwenda Bagamoyo.Vimepakana na viwanja vya mradi wa serikali, ambavyo vinauzwa 25m na vyetu no 13m
 
Hii nayo kali.
Yaani kiwanja cha sqm650 kiwe na bei moja na cha sqm1500?
Ni kweli usiyoiamini, viwanja vyote vimepimwa na kila kiwanja kina hati miliki. Ramani inaonesha eneo lina viwanja 120, na viwanja 40 tayari vimeuzwa. Lengo tunajaribu kuona kama tunaweza pata mwekezaji wa kununua vyote pamoja.
 
Wadau kwa wanaujua maeneo hayo, viwanja vya mradi wa serikali vinauzwa kati ya 20m na 25m hivyo hivi vyetu ni nafuu, tofauti ni kwamba, vile ni vya mradi wa serikali na hivi ni vya mradi wa mtu binafsi.
 
Ni kweli usiyoiamini, viwanja vyote vimepimwa na kila kiwanja kina hati miliki. Ramani inaonesha eneo lina viwanja 120, na viwanja 40 tayari vimeuzwa. Lengo tunajaribu kuona kama tunaweza pata mwekezaji wa kununua vyote pamoja.

Waeza niambia sababu..... kwamba kiwanja cha square mts 650 kiwe bei sawa na cha 1500?? inakuwa ngumu sana kuingia akilini hii kitu...
 
Kifupi ni kwamba hakuna kiwanja kinacho zidi bei tajwa hapo juu. Lakini pia nimeweka maelezo ya kutosha, hakuna cha ajabu hapa,vikubwa havina mazungumzo, vidogo vinamazungumzo, hii ndiyo tofauti, na ni mbinu za kibiashara.
 
Kwahiyo kwa kifupi we na mwanzisha thread bw/bi Bizney ni mtu mmoja? Kwanini unatumia ID mbili mheshimiwa??

Unatutia mashaka mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Wadau viwanja vinauzwa, ni njia ya kwenda Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam, vimepimwa,idadi yake ni 80 kila kimoja kina hati, ukubwa ni kuanzia square mt 650-1500. Bei 13,000,000.

Lakini pia tunakaribisha wawekezaji, kama mtu au taasisi,anaweza kununua vyote 80 kwa pamoja. Kwa bei ya jumla kiwanja ni 7,500,000. Mahali vilipo eneo linaitwa Ukuni ni njia ya Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam kabla ya kufika Bagamoyo.

Kwa mawasiliano piga 0773 944 944. Karibuni sana, meza ya mazungumuzo iko wazi.

Mkuu tukuamini wewe au bw/bi twijuke?

ID mbili tangazo moja. Ama kweli Mjini shule...
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naomba nikili kuwa kuna makosa yamefanyika. Muhusika Mkuu katika tangazo hili ni Bizney.ID ambayo imekuwepo hapa kitambo, na hakuna madhara yoyote ambayo yametokana na ID hii. Samahani kwa usumbufu.
 
Back
Top Bottom