Pata viwanja vilivyopimwa Bagamoyo kwa bei chee

Pata viwanja vilivyopimwa Bagamoyo kwa bei chee

Haiingii masikioni sq 650 na 1500 zote bei moja!!!! Ngoja ni log off.
 
Haiingii masikioni sq 650 na 1500 zote bei moja!!!! Ngoja ni log off.
Iko hivi, bei inaanzia 13m tulikuwa na viwanja 120 na sasa vimebaki 80. na lengo ni kuu,ni kumpata mtu au taasisi inayoweza kununua vyote pamoja.
 
You are not serious, yani maelezo yako yamejaa ubabaishaji tupu. Unategemea utafanya biashara na watu makini?
 
You are not serious, yani maelezo yako yamejaa ubabaishaji tupu. Unategemea utafanya biashara na watu makini?
Si busara na si vyema kuweka mawasiliano ya watu hapa, kama shuhuda. Wanaoona tangazo hili ni wengi na wanunuzi wa kweli wanapiga simu na wamefika eneo husika kujionea.

Jana tulikuwa na watu sita kutoka taasisi moja yenye jina kubwa, wanahitaj viwanja 20 tupo kwenye mazungumuzo, kwa kuwa walikuja kwa kuona tangazo, ungekuwa ubabaishaji wangekuja hapa kulalamika,kwa usumbufu na kutoa tahadhali. Kwani walichoma mafuta ktk magari matatu Moro to Dar.

Kifupi viwanja bei ni 13m vidogo bei inazungumzika na vikubwa hakuna mazungumzo. Karibu na nisamehe kama awali maelezo yangu hayakutosha.

Naipenda Jf na kuiheshimu na watu wake.
Kwa wasio jua Jf ni kambi yangu inanipa mkate kupitia shuguli zangu.
 
Wadau viwanja vinauzwa, ni njia ya kwenda Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam, vimepimwa,idadi yake ni 80 kila kimoja kina hati, ukubwa ni kuanzia square mt 650-1500. Bei 13,000,000.

Lakini pia tunakaribisha wawekezaji, kama mtu au taasisi,anaweza kununua vyote 80 kwa pamoja. Kwa bei ya jumla kiwanja ni 7,500,000. Mahali vilipo eneo linaitwa Ukuni ni njia ya Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam kabla ya kufika Bagamoyo.

Kwa mawasiliano piga 0773 944 944. Karibuni sana, meza ya mazungumuzo iko wazi.

Waeza niambia sababu..... kwamba kiwanja cha square mts 650 kiwe bei sawa na cha 1500?? inakuwa ngumu sana kuingia akilini hii kitu...

Kifupi ni kwamba hakuna kiwanja kinacho zidi bei tajwa hapo juu. Lakini pia nimeweka maelezo ya kutosha, hakuna cha ajabu hapa,vikubwa havina mazungumzo, vidogo vinamazungumzo, hii ndiyo tofauti, na ni mbinu za kibiashara.
Hoja imeletwa na Bizney, Swali nikamuuliza Bizney kwanini jibu litoke kwa twijuke?

Unatumia IDs 2?? Kwanini? Unaweza kunishawishi kuwa hakuna kaharufu ka utapeli hapa???
 
Last edited by a moderator:
Hoja imeletwa na Bizney, Swali nikamuuliza Bizney kwanini jibu litoke kwa twijuke?

Unatumia IDs 2?? Kwanini? Unaweza kunishawishi kuwa hakuna kaharufu ka utapeli hapa???
Suala la mtu mmoja kuwa na ID kwa waliowengi wamezingatia usalama na heshima.

Mfano wenzetu wa jukwaa la siasa naamini wakija kwenye jukwaa la biashara watakuja kivingine, na wa biashara wakienda kwenye mahusiano na hasa mapenzi natumai wataenda kivingine.

Mpaka sasa nimeisha deal na wanajanvi zaidi ya 100 kwa masuala ya pesa, hakika wangeumizwa wangekuja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom