Bei ni moja bila kujali ukubwa wa kiwanja? Kama nimeelewa vizuri kiwanja cha sqm 800 ni 13M na cha sqm 1500 ni 13M. Ufafanuzi mkuu Bizney
Vyote bei ni moja mkuu.
Ni kweli usiyoiamini, viwanja vyote vimepimwa na kila kiwanja kina hati miliki. Ramani inaonesha eneo lina viwanja 120, na viwanja 40 tayari vimeuzwa. Lengo tunajaribu kuona kama tunaweza pata mwekezaji wa kununua vyote pamoja.Hii nayo kali.
Yaani kiwanja cha sqm650 kiwe na bei moja na cha sqm1500?
Ni kweli usiyoiamini, viwanja vyote vimepimwa na kila kiwanja kina hati miliki. Ramani inaonesha eneo lina viwanja 120, na viwanja 40 tayari vimeuzwa. Lengo tunajaribu kuona kama tunaweza pata mwekezaji wa kununua vyote pamoja.
Waeza niambia sababu..... kwamba kiwanja cha square mts 650 kiwe bei sawa na cha 1500?? inakuwa ngumu sana kuingia akilini hii kitu...
Za kuambia changanya na zako babu.
Kifupi ni kwamba hakuna kiwanja kinacho zidi bei tajwa hapo juu. Lakini pia nimeweka maelezo ya kutosha, hakuna cha ajabu hapa,vikubwa havina mazungumzo, vidogo vinamazungumzo, hii ndiyo tofauti, na ni mbinu za kibiashara.Waeza niambia sababu..... kwamba kiwanja cha square mts 650 kiwe bei sawa na cha 1500?? inakuwa ngumu sana kuingia akilini hii kitu...
Kifupi ni kwamba hakuna kiwanja kinacho zidi bei tajwa hapo juu. Lakini pia nimeweka maelezo ya kutosha, hakuna cha ajabu hapa,vikubwa havina mazungumzo, vidogo vinamazungumzo, hii ndiyo tofauti, na ni mbinu za kibiashara.
Wadau viwanja vinauzwa, ni njia ya kwenda Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam, vimepimwa,idadi yake ni 80 kila kimoja kina hati, ukubwa ni kuanzia square mt 650-1500. Bei 13,000,000.
Lakini pia tunakaribisha wawekezaji, kama mtu au taasisi,anaweza kununua vyote 80 kwa pamoja. Kwa bei ya jumla kiwanja ni 7,500,000. Mahali vilipo eneo linaitwa Ukuni ni njia ya Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam kabla ya kufika Bagamoyo.
Kwa mawasiliano piga 0773 944 944. Karibuni sana, meza ya mazungumuzo iko wazi.