Patakuwa na Tetemeko ktk Taifa laku sadikika

Patakuwa na Tetemeko ktk Taifa laku sadikika

Hahahaha Wazee wapi hao?.
Kilichopo kwasasa ni power struggle hakuna kingine.

Ndani ya CCM na mifumo iliyopo wote wanafanana tu..

Mpaka sasa wenye dhamira ya dhati wako nje ya mifumo na hawana nguvu yeyote masikini.

Suluhu pekee kwa Tanzania kwa sasa ni wananchi kuchukua hatua kuingia mitaani kudai nchi yao na hali hii italeta mapigano yatakayoua watu wengi na kuchukua muda mrefu kizazi na kizazi.
Baada ya hapo kitakuja kizazi kipya na kuchukua udhibiti na hapo ndio itakuwa mwisho wa CCM na mifumo iliyopo.
Mengine ni story tu.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Binafsi mpaka muda huu bado siamini kama nchi ipo kwenye mikono haram ya wahuni. Na kuwaondoa wahuni kwenye madaraka, siyo kazi nyepesi hata kidogo. Cha kushangaza kwenye hilo kundi la wahuni, kuna Maponjoro wengi mpaka basi.
 
Hali inaonyesha patakuwa na tetemeko na hofu kuu ktk taifa lakusadikika. Wazee wa Taifa hilo watasimama kukabiliana na kesho ya kizazi kijacho. Itakuwa nivita kali isio tumia silaha wala mabomu kulitetea Taifa la kusadikika.
Vyombo vya usalama wa Taifa hilo havitoingilia mtifuwano huwo ila Taifa litasimama tena kuikabili miaka inayokuja ndani ya kizazi kipya. Amen
TumainiEl kuna pahala nimesoma majuzi juu kukodiwa waisrael kwenye kuelekea kwenye uchanguzi kudukua account za watu maalumu hata maisha yao kuwa hatarini,
Vipi hili lina ukweli kiasi gani!
Na je wenye kutetea masilahi mapana ya taifa account zao ziko salama kiasi gani?
 
Ngoja nisikilize goma la Gill Scott heron la 1971---goma linaitwa
"The revolution will not be televised"
Kiranga

Ova
 
Mi naendelea kuagiza popcorn kila nchi ina wazee wenye maonyo na makarama wakisema jambo lisipotiliwa maanan basi majanga huikumba nchi, Tanzania inao hao wazee na lazima wasikilizwe nchi nyingi tu
 
Naskia RC wana andaa waraka mzito, ila ngoja tusikie Polepole amekuja na lipi usiku huu
 
We njoo unywe bia uachane na hizi nabii za kutapeli...🍺🍺🍺🍺🍺🤣
 
Back
Top Bottom