adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Anajikuta Jasusi wa mchongo kumbe Mzee wa kuunga dots , kubahatisha na kusoma upepo.Sema we jamaaa muongo muongo sana, hamna lolote.
Aliwahi tabiri kuwa Putin hamalizi mwaka 2023 atawekewa simu na kufa.