Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
we gonna beat them, severely!Hizo ramli tu. Mnabahatisha bahatisha sana.! "If you can't beat them, join them."
TumainiEl kuna pahala nimesoma majuzi juu kukodiwa waisrael kwenye kuelekea kwenye uchanguzi kudukua account za watu maalumu hata maisha yao kuwa hatarini,Hali inaonyesha patakuwa na tetemeko na hofu kuu ktk taifa lakusadikika. Wazee wa Taifa hilo watasimama kukabiliana na kesho ya kizazi kijacho. Itakuwa nivita kali isio tumia silaha wala mabomu kulitetea Taifa la kusadikika.
Vyombo vya usalama wa Taifa hilo havitoingilia mtifuwano huwo ila Taifa litasimama tena kuikabili miaka inayokuja ndani ya kizazi kipya. Amen
πila Taifa litasimama tena
Ushaanza. Upo JF tu huku mtaani tunasubiri kutiki Oktoba!!Nipo hapa nasubiria mtifuano
Nasema kile nasikia. Sio rahisi kuona ila kila kitu kitatimiaUmezidi sasa mkuu utaanza kuzomewa jukwaani .
- ongeza ... ChonganishiHizo ramli tu.
Umezidi sasa mkuu utaanza kuzomewa jukwaani .
Mtu na kazi zake π€£π€£We hauna kipawa cha kutabiri usilazimishe mambo .
ππππππNimecheka hadi nimepaliwa πππ