Anajikuta Jasusi wa mchongo kumbe Mzee wa kuunga dots , kubahatisha na kusoma upepo.Sema we jamaaa muongo muongo sana, hamna lolote.
Jamaa ni Mzee wa tabiri halafu muongo Mzee wa janja janja kama tapeli ,alibahatishaga Moja basi akajiona KGBMkuu tupumzishe na hizi tabiri zisizotimia
Kwani amerudi tena si kashapotea tokea alipuriwe ?
SijamuonaKwani amerudi tena si kashapotea tokea alipuriwe ?
Wazee na watoto wanahitaji mambo na huduma zetu...Hizo ramli tu. Mnabahatisha bahatisha sana.! "If you can't beat them, join them.
God have a mercy on us 2026Hali inaonyesha patakuwa na tetemeko na hofu kuu ktk taifa lakusadikika. Wazee wa Taifa hilo watasimama kukabiliana na kesho ya kizazi kijacho. Itakuwa nivita kali isio tumia silaha wala mabomu kulitetea Taifa la kusadikika.
Vyombo vya usalama wa Taifa hilo havitoingilia mtifuwano huwo ila Taifa litasimama tena kuikabili miaka inayokuja ndani ya kizazi kipya. Amen
Near byAnajikuta Jasusi wa mchongo kumbe Mzee wa kuunga dots , kubahatisha na kusoma upepo.
Aliwahi tabiri kuwa Putin hamalizi mwaka 2023 atawekewa simu na kufa.