Kwa zile zenye namba ni rahisi ila kwa hizi zenye majina labda waje wataalam wa IT watujuzekama unatumia smartphone block hasa samsung huoni hizo sms kama zimeingia zinaenda huko kwenye blocked meseji
Block tu mkuuHabari wakuu, mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake,
Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms.
Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiWa sms "PATAPATA"
NImeajaribu kublacklist lakini haina namba imeniwia vigumu.
Hakuna hiyo Option mzee kwenye hizi NambaaBlock tu mkuu
Achana nazo...Habari wakuu…
Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake.
Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA"
Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
Unablock vipi mkuu wakati sms inakuja bila namba?
Ujanja wangu wote umenishinda nielekeze.
Mimi mpaka huwa wananipigia simu, juzi texts zao zimeingia saa Saba usikuAisee bora huu umeanzishwa... Yaani hii ni kerooo kubwa mnooo
Mimi nablock zote. Iclick sms husika.....nenda kwenye details tia spamKwa zile zenye namba ni rahisi ila kwa hizi zenye majina labda waje wataalam wa IT watujuze
Nenda kwenye setting utakutana na block number hapo ni chaguo lako haijalishi Ina number au la. Ikifika msg anzia hapo hapo, hutaziona tena Ila uki restert cm zitarudi nawe ziminye tena.Unablock vipi mkuu wakati sms inakuja bila namba?
Ujanja wangu wote umenishinda nielekeze.