Patasi ya Diamond Platinumz yatoboa tobo Marekani

Patasi ya Diamond Platinumz yatoboa tobo Marekani

Oyoooooooooooo

BONGO FLAVOUR TO THE WORLD

OUR MUSIC ICON

JAMANII EEEEEEEEEH HAWAJUI KAMA KUNASERENGETI, NGORONGORO, BAADHI WANAUJUA KUNA MLIMA KILIMANJARO, SASA AMEONGEZEKA NA DIAMOND PLATNUMZ

KWANINI TUSIFURAI JAMANIIII cute b

TEAM DIAMOND PLATNUMZ

PROUDLY WCB

TOROKA UJEEEEE
 
Almost mwaka mmoja uliopita nilikuwa na kauli mbiu humu kwamba kumchukia Diamond ni kujitafutia ugonjwa wa moyo bure! Watu hawakunisikia lakini lililo wazi ni kwamba, tangu nitoe kauli hiyo hadi sasa, wanachopata ni maumivu tu huku furaha yao pekee ni kusubiria scandal yoyoteya Diamond hata kama ni ya kijinga ndipo wajifekishe kufurahi!!!

Hahahaha kweli kabisa mkuu, na kule tunakinukishaa

Nikwambie kitu, ebwana diamond ana akili saaaaana!!

Swizz alivyopost ile ya nana alikuwa amemfollow diamond ila Diamond akajuwa tu huyu atakuwa amenifollow ila bado hajuwi project zangu kiundani, akakinukisha na upcoming project na Neyo ili azidi kuunogesha mchezo hahahahahahaha namuelewa sana chibu...

Mwezi wa kumi huu hapaaa mambo yote tunaenda kumaliza USA
 
aisee uyu dogo ananyota kali kweli tz tumevuka boda ulimwengu wa mziki, chibu mond bin laden MUNGU akutunze ututangazie karembo ketu ugaibuni ka TANZANIA
 
pwilo hakuna mabomu ya machozi hukuuu...

Hatupo Afrika tu, tupo hadi marekani, wilfred bonny aloshafanya yake uingereza, tunapaa anga tu!!!!!!

Oyoooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kweli kabisa mkuu, na kule tunakinukishaa

Nikwambie kitu, ebwana diamond ana akili saaaaana!!

Swizz alivyopost ile ya nana alikuwa amemfollow diamond ila Diamond akajuwa tu huyu atakuwa amenifollow ila bado hajuwi project zangu kiundani, akakinukisha na upcoming project na Neyo ili azidi kuunogesha mchezo hahahahahahaha namuelewa sana chibu...

Mwezi wa kumi huu hapaaa mambo yote tunaenda kumaliza USA
Mkuu Kidingi,

Humu nimeshawahi kusema kwamba endapo Diamond angebahatika kupata shule ya kutosha yaani angekuwa ni best marketing and promotional head kupata kutokea hapa nchini... manake ni mtu wa timing vibaya mno! Unajua baadhi ya watu walishindwa hata kufahamu kwanini Nana aliiachia kipindi kile! Dancing ambayo ilikuwa ndani ya Nana ilitosha kabisa Diamond kumpa ushindi wa Best Performer kwa kila aliyeona video na yeye akaachia wakati ule ule!!! Nadhani juzi nilikuta Diamond kaweka promo ya Ne-Yo... nikajiuliza WHY now! Nilipokuja kukuta issue Swizz, nikafanya 1+1 ...! Yaani dogo ni mkali wa timing....
 
Good diamond, na team diamond wameivamia iyo post hadi jamaa kamfollow diamond

Yani wabongo ni shhidaah
. wameshindikana... Kuna kipindi page ya T.I ilikua na comments za kiswahili tu..
 
Mkuu Kidingi,

Humu nimeshawahi kusema kwamba endapo Diamond angebahatika kupata shule ya kutosha yaani angekuwa ni best marketing and promotional head kupata kutokea hapa nchini... manake ni mtu wa timing vibaya mno! Unajua baadhi ya watu walishindwa hata kufahamu kwanini Nana aliiachia kipindi kile! Dancing ambayo ilikuwa ndani ya Nana ilitosha kabisa Diamond kumpa ushindi wa Best Performer kwa kila aliyeona video na yeye akaachia wakati ule ule!!! Nadhani juzi nilikuta Diamond kaweka promo ya Ne-Yo... nikajiuliza WHY now! Nilipokuja kukuta issue Swizz, nikafanya 1+1 ...! Yaani dogo ni mkali wa timing....

Tofauti na wizkid najuwa Chibu akienda USA next week lazima amtafute Swizz, na shooting ya video yetu na NEYO

Lazima wanyoooooke!!
 
Yani wabongo ni shhidaah
. wameshindikana... Kuna kipindi page ya T.I ilikua na comments za kiswahili tu..

Hahaaaa wabongo mi nimewanyooshea mikono aisee.. halafu wanakoment kiswahili muhusika anabaki haelewi kitu,😂😂
 
hizi kampeni zimeteka kabisa wadau..Huu uzi tangu juzi ndio kwanza uko Page ya Pili?!?....
 
Yani wabongo ni shhidaah
. wameshindikana... Kuna kipindi page ya T.I ilikua na comments za kiswahili tu..
we SERIO
nkuwa nakuheshimu ila kwa hili hapana..........ndo vizuri kukitangaza kiswahili chetu we ulitaka waandike kizungu ama nini????
 
Yaani ndio maana najisikia raha kuwa shabiki wake

Lazima anayeelewa ajifunze mengi ya kujipaisha
 
Back
Top Bottom