Ndo wewe, au?Yani nimejikuta natabasamu tuuu....oyoooo kimberly binti kiziwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wewe, au?Yani nimejikuta natabasamu tuuu....oyoooo kimberly binti kiziwi
OMG!! I am dying for you my Princess; where are you?Good for him.
Almost mwaka mmoja uliopita nilikuwa na kauli mbiu humu kwamba kumchukia Diamond ni kujitafutia ugonjwa wa moyo bure! Watu hawakunisikia lakini lililo wazi ni kwamba, tangu nitoe kauli hiyo hadi sasa, wanachopata ni maumivu tu huku furaha yao pekee ni kusubiria scandal yoyoteya Diamond hata kama ni ya kijinga ndipo wajifekishe kufurahi!!!
photoshop hizo
Ndo wewe, au?
hahahaa... nishakuona!Hata mwandiko umesahau? pigia mstari jibu
Mkuu Kidingi,Hahahaha kweli kabisa mkuu, na kule tunakinukishaa
Nikwambie kitu, ebwana diamond ana akili saaaaana!!
Swizz alivyopost ile ya nana alikuwa amemfollow diamond ila Diamond akajuwa tu huyu atakuwa amenifollow ila bado hajuwi project zangu kiundani, akakinukisha na upcoming project na Neyo ili azidi kuunogesha mchezo hahahahahahaha namuelewa sana chibu...
Mwezi wa kumi huu hapaaa mambo yote tunaenda kumaliza USA
Good diamond, na team diamond wameivamia iyo post hadi jamaa kamfollow diamond
Mkuu Kidingi,
Humu nimeshawahi kusema kwamba endapo Diamond angebahatika kupata shule ya kutosha yaani angekuwa ni best marketing and promotional head kupata kutokea hapa nchini... manake ni mtu wa timing vibaya mno! Unajua baadhi ya watu walishindwa hata kufahamu kwanini Nana aliiachia kipindi kile! Dancing ambayo ilikuwa ndani ya Nana ilitosha kabisa Diamond kumpa ushindi wa Best Performer kwa kila aliyeona video na yeye akaachia wakati ule ule!!! Nadhani juzi nilikuta Diamond kaweka promo ya Ne-Yo... nikajiuliza WHY now! Nilipokuja kukuta issue Swizz, nikafanya 1+1 ...! Yaani dogo ni mkali wa timing....
Yani wabongo ni shhidaah
. wameshindikana... Kuna kipindi page ya T.I ilikua na comments za kiswahili tu..
we SERIOYani wabongo ni shhidaah
. wameshindikana... Kuna kipindi page ya T.I ilikua na comments za kiswahili tu..
Hamna kitu. Uharo tu huyu CCM