Patasi ya Diamond Platinumz yatoboa tobo Marekani

we SERIO
nkuwa nakuheshimu ila kwa hili hapana..........ndo vizuri kukitangaza kiswahili chetu we ulitaka waandike kizungu ama nini????

mkuu hio sio maana yangu... Lakini wabongo wako busy sana kwenye social networks kuliko watu wengine woooote... Posts za Chamelion wa Uganda nyingi hazizidi comments 500... lakini za Diamond kama ni comments chache ni 1500...

Ujio wa T.I ulivyo tangazwa, page yake ikaanza kuwa busy na comments za wabongo kuliko kiasi...
 

Kama ni hvo......wabongo wana haja ya kujiangalia......anyway lakini ni ktk kumsupport msanii
 
Ukiona mtanzania anamchukia Diamond au ana chuki na kazi zake za muziki, basi usijiulize wachawi wako wapi., tayari umeshakutana na mmoja wapo.

Kazi nzuri Diamond!
 
Ukiona mtanzania anamchukia Diamond au ana chuki na kazi zake za muziki, basi usijiulize wachawi wako wapi., tayari umeshakutana na mmoja wapo.

Kazi nzuri Diamond!

Mwe mweh......ila kweli hahahaaaaa
 
Mimi binafsi nilikuwa simuelewi huyu dogo ila huwezi zuia mafuriko kwa mkono imebidi nimuelewe tu big up Dangote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…