serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
we SERIO
nkuwa nakuheshimu ila kwa hili hapana..........ndo vizuri kukitangaza kiswahili chetu we ulitaka waandike kizungu ama nini????
mkuu hio sio maana yangu... Lakini wabongo wako busy sana kwenye social networks kuliko watu wengine woooote... Posts za Chamelion wa Uganda nyingi hazizidi comments 500... lakini za Diamond kama ni comments chache ni 1500...
Ujio wa T.I ulivyo tangazwa, page yake ikaanza kuwa busy na comments za wabongo kuliko kiasi...