Pateni kuitambua saa aina ya Bulgari Serpenti Seduttori: ina vipande 197 vya almasi, 2 vya rubi adimu na karati 16 za sapphire (zumaridi)

Pateni kuitambua saa aina ya Bulgari Serpenti Seduttori: ina vipande 197 vya almasi, 2 vya rubi adimu na karati 16 za sapphire (zumaridi)

Ukiwa Rais inahitaji uwe mvumilivu sana,angevaa saa zetu za elf 5 mngesema huyu nae kazidi ushamba,amevaa ya bei mnasema kazidisha,sasa mnataka kila anachotaka kununua awe anawaomba mumpangie bei ndio anunue...
Jua hiyo ni kodi yako, au hulipi kodi nini mkuu?
 
Kula maisha KIZIMKAZI. Watanganyika wenyewe ni mbumbumbu.
Kabisa. Zamani Mwanyamala kabla magari ya viongozi nayo hayajaitwa mashangingi, kulikuwa na mashangingi, kazi yao ni kushindana kujipamba kwa vito vya dhahabu.
 
Atajua mwenyewe hata akinunua kitanzi cha dhahabu cha kujinyonga mimi nachotaka umeme wa uhakika,maji matibabu ya uhakika na mengine ya msingi hayo ya saa hayanihusu
Yanakuhusu sana mkuu. Ni fedha yako hiyo. Na kama amepewa na waarabu, lazima ujue hakuna cha bure dunia hii. Kweli tumeingia cha kike. Yale yale mambo ya kiarabu kiarabu ya ufahari ufahari wakati wengine wanakufa kwa njaa.
 
Hivi unachukua mwanamke wa pwani unamweka katika nafasi ya kuwa mkuu wa nchi unategemea nini? Mwisho wa siku wote tutavalishwa madera na kucheza mdundiko! Ndio haya tunayoyaona!
Waafrika ni watu wajinga mliojaa ukabila na ubaguzi wa kikabila. Hamuwezi fikra za kidhahania na kumuangalia mtu mmoja mmoja.

Matatizo ya Samia huwezi kuyaona ya Samia, ni lazima uchomekee habari za wanawake, habari za watu wa Pwani.

Hapo vipi mkuu?
 
Ila watz bhana hapo kwa picha tu mmeshajudge kwamba saa ni ya 100m+ je kama ni copy je tutajuaje mbna kuna watu wengi wanavaa rado, rolex n.k ila ni copy za 25k huko mbna watu tumekua warahisi sana kumhukumu mtu na hata kama ni yenyew ina maana Mh Raisi ashindwe kua na 100m ya kwake mwenyew mbna raia mna nongwa sana
 
Ila watz bhana hapo kwa picha tu mmeshajudge kwamba saa ni ya 100m+ je kama ni copy je tutajuaje mbna kuna watu wengi wanavaa rado, rolex n.k ila ni copy za 25k huko mbna watu tumekua warahisi sana kumhukumu mtu na hata kama ni yenyew ina maana Mh Raisi ashindwe kua na 100m ya kwake mwenyew mbna raia mna nongwa sana
Anapata wapi kwa mshahara wake ule?
 
Mimi sina tatizo kabisa na hiyo saa. Maana kila mtu anaweza kumiliki kitu chichoye kile apendacho, na iwapo tu atakuwa amejipanga kufanya hivyo.
Mimi shida yangu tangu mwanzo ni kuamini tu kuwa kama nchi, bado tulikuwa hatuko tayari kutawaliwa na Rais mwanamke.

Na ndiyo maana hata kwenye ule mchakato wa kumpata mgombea wa Urais mwaka 2015 hakuna aliyetilia maanani kama yule Mzazibar Balozi Amina Ali angeweza kuwa Rais wa nchi; hata kama alikuwa na ushawishi wa hapa na pale.

Hii nchi ilitakiwa itengeneze kwanza mfumo mzuri wa kuendesha nchi, na pia Katiba na sheria za nchi nazo zingeimarishwa ili kuhakikisha tu wahuni wachache hawaziletei utani. Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena. Hali imekuwa si hali.
 
Katika nchi maskini ambayo wananchi wake hawana uhakika wa huduma bora za afya, watoto wanakaa chini madarasani, shule hazina vyoo, umeme hakuna, wanawake wanajifungulia chini, hakuna maji, hakuna sukari, wanafunzi vyuo vikuu hawana mikopo na changamoto kibao. Rais akiwa mtumishi wa umma namba moja anavaa Saa ya 100M huku ana Pete za dhahabu. Hatujajua cheni zinazofunikwa na Hijab ile bila kusahau cheni ya kiumoni ya kukinda ndoa ya Baba Abdul.

Rais anatupia mapambo ya gharama kwa pesa ya umma huku kila siku akisafiri kwa gharama zetu alafu tusimseme. Tutamnanga sana. Hiyo 100M si ingekopesha watoto wetu wanaosoma vyuo vikuu?

Basi avae Kaniki na Masendeu chini ili yote uliyoyataja yabadilike.

Mnachosahau ni kuwa ukiondoa Cheo alichonacho yeye anabaki kuwa Mtu mwenye mwili wenye nyama,akili na matamanio kama mimi,wewe ama shangazi yangu au wako.
Ndio asivai atakacho?
Na Saa au Mil. 100 Mtasema hawezi kumudu kununua?
Aaa jamani punguzeni kidogo misakamo.

Walitokea Viongozi walikuwa wanaishi Bongo lakini Suti zao zinafuliwa London nini Kasaa,
Tena ka Bei chee kabisa mnachooonga.

T=
 
Back
Top Bottom