Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Yale mazingombwe ya tapeli la Chato ulikuwa ukiyaamini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watu wa kuja kutoka wapi ?

Hao wote ni watanzania, mtanzania anaweza kuishi mkoa wowote kulingana na uwezo wake wa kujikimu

Kemea mentality za kipumbavu za kibaguzi na kikanda kama zako
Umeguswa kunako kalio...
 
We hushangai vijijini Kuna umeme, barabara ya lami na nyumba nzr .


Tanzania gan ushawahi ona vijiji Kama hivyo
Mziki wa giants of east africa unaujua maana ili uende vijijini kwenu kagera lazima upite gold city, ogopa route yenye ma_bus karibia 20 yanatoka jiji kubwa la kibiashara na kuishia Kahama kila siku. Huko kwenu yanapitiliza ma_bus hayafiki matatu uone tofauti
 
Umepanick mzee πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ˜€
 
Ugoro huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Yanapitiliza yanaenda wap.
Wakati mabasi yote hata hayo ya kahama yanaishia bukoba [emoji23][emoji23]

Bukoba mwanza Kuna mabasi kibao na bado Kuna mv Victoria inayobeba watu 1200 kwenda bukoba kila siku.


Bila kusahau uwanja wa ndege wa bukoba Kuna mashirika matatu so far ya air tz, precision na auric
 
Natalie basi hata moja anamiliki mhaya! Wamiliki hapo ni wasukuma na wachaga,
 
Kwani Opportunity Cost anasemaje?
 
Mwambie huyo wahaya wengi wako Mwanza na Geita. Wamekimbia njaa kwao. Chezea sukumaland weye.
Mhaya hawezi kutoka Bukoba akaja misungwi, ngudu au sijui geita vijiji huko maana kuna maisha magumu. Wahaya wapo Mwanza mjini maofisini au wanafanya biashara, wasukuma ndo wanatoka huko vijijini wanakimbia njaa na ukame
 
Vipi mkuu Wilaya za Kilimanjaro ukilinganisha na Hizi za Kagera(hasa hizi za Wahaya i.e Bukoba,Misenyi n.k) maana wanapigaga sana porojo humu hawa Wahaya..
 
We ndo hujui kitu kabisa eti mabasi matatu tu, yaani abilia wanaosafiri na meli tu ni zaidi ya hivo vimagari vya kwenda Kahama
 
Ni kweli, ila ni vema ujue kwamba, Dar es Salaam itabaki kuwa dar es Salaam. Mwanza itasubiri saaaana. Miaka mitano ijayo Dar itakuwa na wakazi milioni 10. Mwanza mpo ?
Kuna mitaa Kama goba, madale, boko na bunju hapo hatujaweka mbweni Wala kijichi. Unaisogezaje mwanza hapo ?
Acha ujinga mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…