Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Natalie basi hata moja anamiliki mhaya! Wamiliki hapo ni wasukuma na wachaga,
Kumbe unaongelea mabasi [emoji23] na hapo ndo mnajiona matajiriii[emoji23]

Wahaya wanawekeza kwenye vitu vya msingi vyenye kuangalia future mfano shule na hospital.

Haya mabasi ni mhaya mmoja huko bukoba anamiliki shule na hizo ndo school bus
 
Nani amekwambia wasukuma hawamiliki hospital na shule? Broo nyinyi siku hizi wachumba tu! Na msivyokuwa na akili mnajifanyaga kubagua watu mtabaki kama mlivyo ndo maana hata Chato ilitolewa kagera kwa mambo yenu ya hovyo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wasukuma ndo maana wanaitwaga washamba, eti karne hii wanaona mabasi ya King msukuma ndo utajiri wakati Bukoba ni school bus
 
Unafikiri pesa ni kumiliki mabasi, mbona Wahaya wamejenga shule huko kwenu ili wawatoe ujinga, hizo ndo pesa
Wewe nakwambia Mhaya hajawahi kumzidi msukuma kwa pesa na upambnaji! Na kwa taarifa yako hata shule saizi hamtuzidi kwa chochote!
 
Nani amekwambia wasukuma hawamiliki hospital na shule? Broo nyinyi siku hizi wachumba tu! Na msivyokuwa na akili mnajifanyaga kubagua watu mtabaki kama mlivyo ndo maana hata Chato ilitolewa kagera kwa mambo yenu ya hovyo!
Kuonesha kwamba Wahaya ndo giant shule tumezijenga hadi huko kwenu.
Kuitoa chato mkoa wa Kagera ni ishu za kiutawala na kijiografia kwani ulitaka waruke wachukue ngara wakati chato ndo ipo karibu
 
Wewe nakwambia Mhaya hajawahi kumzidi msukuma kwa pesa na upambnaji! Na kwa taarifa yako hata shule saizi hamtuzidi kwa chochote!
Tatizo njia zenu za kupambana zimepitwa na wakati, huwezi kumiliki ng'ombe 2000 huku umepauka eti ndo unapambana
 
Nani amekwambia wasukuma hawamiliki hospital na shule? Broo nyinyi siku hizi wachumba tu! Na msivyokuwa na akili mnajifanyaga kubagua watu mtabaki kama mlivyo ndo maana hata Chato ilitolewa kagera kwa mambo yenu ya hovyo!
Hayo mabasi mnayojisifia nayo sijui zuberi ,king msukuma bukoba ni school bus.

Kuanzia bukoba Hadi dar wahaya ndo wanaomiliki shule kubwa kubwa nchini ili wawatoe ujinga.

Tukianzia bukoba Kama kaizirege, kemebos, kajumulo,karume,amani nk nk
Na hospital kubwa kubwa Kama cosad hospital na kashambya hospital huko vijijini.
Uhayani wilaya ni kawaida kuwa na hospital zaidi ya tatu na zaidi,shule kibao vijiji vina shule zaidi ya tano nk nk

Nenda dar Sasa St Mary's,st Matthews,kairuki university, babro Johnson,St Anne Maria , Tusiime zote za wahaya watupu [emoji23]

Endeleeni kununua mabasi [emoji23] [emoji23][emoji23] wahaya wanawajengea shule wawatoe ujinga.

Hadi hapa jf kuna muhaya mmoja kawekeza uko unamchangia[emoji23][emoji23]
 
Dar si ya wote ndug haina mwenyewe
 
Nani amekwambia wasukuma hawamiliki hospital na shule? Broo nyinyi siku hizi wachumba tu! Na msivyokuwa na akili mnajifanyaga kubagua watu mtabaki kama mlivyo ndo maana hata Chato ilitolewa kagera kwa mambo yenu ya hovyo!
Hebu nitajie hospital au shule moja tu inayomilikiwa na msukuma hapa nchini[emoji23][emoji23]
 
Nani kakataa! Hao wahaya waomiliki shule hixo chache ndo unawalinganisha na wasukuma waliojaa kila sekta yenye uchumi nchi hii?
 
Instanbul ukuje hukuuuuuuuuuuuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao watu wasio na exposure ,ni matusi kuifananisha Mwanza na Dar. Dar ni ya kuifananisha na miji mikubwa nje ya Tz labda hapo ni sawa. Dar yenye square kilo meter 1700, ambapo 1200 ni slum na unbuilt. 500 ni planned areas. Hako ka Mwanza kenye ukubwa wa 240 mji including planned and unplanned areas.
Niambie ni wapi utasimama Dar ukaiona yote? Ila miji yetu mingine yote bongo, Dodoma, Arusha ,Mwanza etc unaweza ukasimama floor ya pili ya jengo ukaupiga picha mji mzima. Yaani comparison inapaswa kuwa hivi, Mwanza vs Kinondoni au Mbeya mji vs Temeke, au Dodoma mji vs Kawe jimbo nk lakini bado ni haiwezekani. Niambie ni wapi tz hii utapanga apartment ya familia kwa milioni 4,6,5 au10 kwa mwezi? Kwa Dar Masaki ,Osterbay ni kawaida mtu kupanga nyumba ya bei hiyo. Tatizo wengine wakija Dar wanafikia Chanika na Bugurunu ama Manzese na wanajua ndio Dar hiyo kote.
Dar ndio sehemu kwa hapa Bongo nyumba ya aina moja assume 3 rooms unakuta kuna sehemu inapangishwa laki 2 , na kuna sehemu nyumba kama hiyo hiyo hadi milioni 5 kwa mwezi. Dar maisha ni expensive in terms of housing, halafu Dar hiyo hiyo kuna sehemu watu wanaishi maisha cheap huwezi amini. Tujitahidi tuzunguke miji mingi hata East africa tu ndio tuje tuandike hizi comparison.
 
Na Tena sio wilaya bali Jimbo la busega, kabla ya kuundwa mkoa wa simiyu na busega kupandishwa kuwa wilaya, hapo kabla busega ilikuwa ni sehemu ya wilaya ya Magu na lilikuwa Jimbo la uchaguzi tu.
 
Wewe nakwambia Mhaya hajawahi kumzidi msukuma kwa pesa na upambnaji! Na kwa taarifa yako hata shule saizi hamtuzidi kwa chochote!
Wacha we[emoji23][emoji23][emoji23].

Siku vijijini kwenu huko usukumani kukifikia hapa ndo tutaongea vinginevyo unapiga porojo tu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…