Dhahabu Haiko Sukumaland Pekee. Mara Ina dhahabu na siyo sehemu ya Sukumaland
Wewe lete ngonjera hapa! Bila hao wasukuma ungekuwa unakula nyama? Unafikiri sekta ya mifugo haina mchango hao wasukuma wanazunguka na mifugo ni wote? Lini umekuja ukakuta wasukuama wote hawapo mwanza simiyu shinyanga na geita? Unarusha vi picha sisi tunaifahamu kagera nyinyi mlishachuja kitambo! Hamna la maana hapo hata mji wenu mi ujingaujinga tu! Hata geitai awazidi mda si mrefu!
Licha ya hizo takwimu hizi mikoa hazinufaiki na ha hayo makusanyo mfano Geita!,
Iko na miundo mbinu mibovu tofauti kabisa na utajiri wake, barabara mbovu za vumbi mfano Geita-Kahama!
Maji ya shida, barabara za mitaa ndio usiseme
I am very surprised by Njombe. How is it possible kushuka chunk kiasi hicho in a span of 4 years?
Ukweli nyie jamaa weupe sana, mnafuta kukubalika lakini ukweli ni wachovu, huwa nashanga mnavyojilinganisha na wachagga ni sawa na Mbingu na ardhiHiv ni wahaya wanaojilinganisha au ni nyie na shobo zenu mnaojilinganisha na wahaya ambao hawana time na nyie.... Mshawahi ona muhaya anaanzisha Uzi kuponda makabila ya watu.
Ila sasa msukuma au mchaga aanzishe Uzi Lazima akoment kuhusu wahaya Tena in a bad way
Ndo maana mods Kuna komenti wamezifuta Kama ukiangalia vzr Uzi huu
Naonaga mtu mpumbavu anayedharau elimu na watu waliosoma.
Elimu ni kwa ajiri ya kuongeza maarifa Wala sio kuwa Tajiri unapoipata. Na mtu akitumia
Huna akili ,GDP ya mikoa yote niitoe wapi wakati wenye Kazi hiyo hawajaiweka ? Wameona Simiyu ichangie Shinyanga na Mwanza 😄
unaKwa hali hii hapa kweli mnastahili kipaombele..
Mwanza inaongoza kwa umaskini 😭😭
View attachment 1969934
View attachment 1969935
Kwamba nshomile wanakimbia dhiki kule kagera😂😂😂 we ngoja instabul aje.Acha kudanganya njoo nikupeleke Sengerema, Buchosa na Geita vijijini uone nshomile walivyojaa na ukiwaambia warudi Kagera wanakupiga mawe.
Kuna yule mjinga anayependa kupost picha za miti ya parachichi akifikiri zinaweza kuwatoa kiuchumi na kupambana na kanda ya ziwa.Parachichi na mbao haimuachi mtu salama
Atakuwa kavimbewa maparachichi yule bwege."Njombe na Katavi zashika mkia" [emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mtu mmoja humu kavimba hadi anataka kupasuka [emoji3]
Umesahau Mkuu Jambo moja la mhimu sana nalo ni, Kanda yetu ndiyo inayoongoza Kwa Kuwa na watu wengi kuliko Kanda yoyote.Shinyanga namNd
Tuna Ziwa, tunauza zaidi ya 90% ya samaki zinazouzwa nje ya nchi.
Tunauza zaidi ya 90% ya pamba inayozalishwa Tanzania, tunazalisha sisi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.
Tunazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya kahawa nje na ndani ya nchi.
Tuna Serengeti, ambayo inavutia zadi ya 80% ya watalii wanaoitembelea Tanzania kila mwaka. Serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila Serengeti wazungu Tanzania tungeishia kuwaona kwenye tv.
Hivyo kwa kuleta zaidi ya 80% ya watalii Tanzania, tunaingiza zaidi ya 80% ya mapato ya utalii Tanzania.
Mifugo, usisahau tunafuga na kuzalisha zaidi 50% ya mifugo na mazao yake kama ngozi, maziwa, pembe, mapumbu, nk😂. Tanzania.
Kagera inazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya ndizi zote Tanzania.
Tuna wanaume jasiri kuliko wanaume wa makabila yote Tanzania, wako Mara.
Tuna wanawake warembo, weusi, walioumbika na wenye shape nawanaomwaga maji Tanzania nzima wako Kagera. Wanawake weupe warefu wa kisukuma na wanawake jasiri roho ngumu wa Mara😂.
Wanawake wa mara kwa ujasiri wanazidi wanaume wa mikoa ya pwani na Iringa.
Wife anaona ametoka bafuni na taulo tu hapa ameniita, narudi.
Hili ndilo linalotakiwa kudadavuliwa kwa umakini mkubwa ili kujua uhalisia wa mada nzima.Hizo takwimu ni takwimu za utajiri wa mkoa, rasilimali zilizopo na potentiality zake.
Simply uncalled for!Great minds nchi hii ziko ama zinatoka lake zone.
Maendeleo ya nchi hii yameletwa ama yataletwa na lake zoners tu.
Hawa wakalia maji pwanis hawana lolote.
Ndiyo Shinyanga ina utajiri wa dhahabu na Almasi.Shinyanga namba 4?😬
Ndiyo Shinyanga ina rasiliamali nyingi snaa lakini bado haijanufaika nazo, kama hujui Shinyanga ina migodi Mingi snaa, mfano Alimasi inapatikana Mwadui Shinyanga pekeee, Dhahabu ipo Bulyankulu - kakola Shinyanga, dhahabu ipo pia Buzwagi Kahama Shinyanga, Dhahabu IPO pia mwa'bomba kahama Shinyanga nkShinyanga namba 4?😬
Wasukuma wenzako sasahivi wamejaa huku Mtwara kama makuli kwenye korosho..Wasukuma 19 wenye mizigo mizito wakienda soko la madini pale kahama kuuza madini yao within a week ni mabilioni. Uje kulinganisha na biashara za kusubiri watu waje kuvinjari maisha ndio upate pesa? Wasipo kuja ndio mnaanza kunywa viroba na chang'aa sio? Kua na adabu mkuu
Njombe nimepapenda sana.. Watu wapambanaji sana huko.Acha ujinga, Kwani Kahama kuna Nini Cha ziada zaidi ya kale kamgodi??.Muda si mrefu Mtakuja kung'aza pua zenu huku.Maana baada ya miaka mitano Kilimo Cha Parachichi kitakuwa kime shine Sana na ngoma inaruka hadi Ulaya,Tuna chai,tuna miti ya mbao ndo tunahudumia sehemu kubwa ya TZ na nyingine tunauza nchi jirani,Sasa hivi kuna ishu ya Vanilla, Kiazi sisemi.Njombe tuna green gold,Time Will tell.
Wasukuma kusema kweli wanahitaji civilization.. Yaani sasahivi wanashindwa tu kuvuka Mto Ruvuma waingie Msumbiji.Eti wasukuma ni habari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23] habari gan.
Yaan mnashindwa kujisifia kuwa na elimu Bora,mahitaji muhimu Kama hospital na barabara, kuwa financially strong Kama wahaya nk mnajisifia upumbavu wa kuhama kuhama na kuishi hovvyo hovyo mistuni baada ya kuharibu Ardhi yenu huko usukumani.
Huko ulikotaja sio uhayani hata kidogo. Hebu tieni miguu uhayani muone.....
Naam Mkuu, Karibu Njombe ufanye uwekezaji usio na wasiwasi maana mahitaji ya soko ni makubwa kuliko uzalishaji.Njombe nimepapenda sana.. Watu wapambanaji sana huko.
Mkuu haya mambo huwezi kuyajua, hiyo ni geological term ambayo kwa Mtu ambaye asiyehusika utaona kama wanapamba wasukuma but that is geological term according to geology of Tanzania wala hakuna upendeleo hapa!Dhahabu Haiko Sukumaland Pekee. Mara Ina dhahabu na siyo sehemu ya Sukumaland