Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Tayari Geita inapiga indicator ili Bukoba apishe njia
Wewe lete ngonjera hapa! Bila hao wasukuma ungekuwa unakula nyama? Unafikiri sekta ya mifugo haina mchango hao wasukuma wanazunguka na mifugo ni wote? Lini umekuja ukakuta wasukuama wote hawapo mwanza simiyu shinyanga na geita? Unarusha vi picha sisi tunaifahamu kagera nyinyi mlishachuja kitambo! Hamna la maana hapo hata mji wenu mi ujingaujinga tu! Hata geitai awazidi mda si mrefu!
 
Hiyo barabara itajengwa tu soon. We subiri hiyo sukumaland ni nchi ya asali na Maziwa.
Licha ya hizo takwimu hizi mikoa hazinufaiki na ha hayo makusanyo mfano Geita!,
Iko na miundo mbinu mibovu tofauti kabisa na utajiri wake, barabara mbovu za vumbi mfano Geita-Kahama!

Maji ya shida, barabara za mitaa ndio usiseme
 
Hiv ni wahaya wanaojilinganisha au ni nyie na shobo zenu mnaojilinganisha na wahaya ambao hawana time na nyie.... Mshawahi ona muhaya anaanzisha Uzi kuponda makabila ya watu.
Ila sasa msukuma au mchaga aanzishe Uzi Lazima akoment kuhusu wahaya Tena in a bad way

Ndo maana mods Kuna komenti wamezifuta Kama ukiangalia vzr Uzi huu


Naonaga mtu mpumbavu anayedharau elimu na watu waliosoma.

Elimu ni kwa ajiri ya kuongeza maarifa Wala sio kuwa Tajiri unapoipata. Na mtu akitumia
Ukweli nyie jamaa weupe sana, mnafuta kukubalika lakini ukweli ni wachovu, huwa nashanga mnavyojilinganisha na wachagga ni sawa na Mbingu na ardhi
 
"Njombe na Katavi zashika mkia" [emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mtu mmoja humu kavimba hadi anataka kupasuka [emoji3]
 
Huna akili ,GDP ya mikoa yote niitoe wapi wakati wenye Kazi hiyo hawajaiweka ? Wameona Simiyu ichangie Shinyanga na Mwanza 😄
Kwa hali hii hapa kweli mnastahili kipaombele..

Mwanza inaongoza kwa umaskini 😭😭

View attachment 1969934

View attachment 1969935
una

Acha kudanganya njoo nikupeleke Sengerema, Buchosa na Geita vijijini uone nshomile walivyojaa na ukiwaambia warudi Kagera wanakupiga mawe.
Kwamba nshomile wanakimbia dhiki kule kagera😂😂😂 we ngoja instabul aje.
 
Shinyanga namNd
Tuna Ziwa, tunauza zaidi ya 90% ya samaki zinazouzwa nje ya nchi.

Tunauza zaidi ya 90% ya pamba inayozalishwa Tanzania, tunazalisha sisi.

Tunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.

Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.

Tunazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya kahawa nje na ndani ya nchi.

Tuna Serengeti, ambayo inavutia zadi ya 80% ya watalii wanaoitembelea Tanzania kila mwaka. Serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila Serengeti wazungu Tanzania tungeishia kuwaona kwenye tv.

Hivyo kwa kuleta zaidi ya 80% ya watalii Tanzania, tunaingiza zaidi ya 80% ya mapato ya utalii Tanzania.

Mifugo, usisahau tunafuga na kuzalisha zaidi 50% ya mifugo na mazao yake kama ngozi, maziwa, pembe, mapumbu, nk😂. Tanzania.

Kagera inazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya ndizi zote Tanzania.

Tuna wanaume jasiri kuliko wanaume wa makabila yote Tanzania, wako Mara.

Tuna wanawake warembo, weusi, walioumbika na wenye shape nawanaomwaga maji Tanzania nzima wako Kagera. Wanawake weupe warefu wa kisukuma na wanawake jasiri roho ngumu wa Mara😂.

Wanawake wa mara kwa ujasiri wanazidi wanaume wa mikoa ya pwani na Iringa.

Wife anaona ametoka bafuni na taulo tu hapa ameniita, narudi.
Umesahau Mkuu Jambo moja la mhimu sana nalo ni, Kanda yetu ndiyo inayoongoza Kwa Kuwa na watu wengi kuliko Kanda yoyote.

Pia ni rahisi sana kutokea Kanda yetu na kufika nchi zote za Africa mashariki Kwa urahisi zaidi kuliko kutokea Kanda yoyote Ile.
Pia Kanda yetu ndiyo Kanda pekeee iliyoleta Rais jiwe.
 
Hizo takwimu ni takwimu za utajiri wa mkoa, rasilimali zilizopo na potentiality zake.
Hili ndilo linalotakiwa kudadavuliwa kwa umakini mkubwa ili kujua uhalisia wa mada nzima.

Hata hivyo, bado inasikitisha sana kuona mikoa yote ya Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita bado haifikii pato la ki-inchi kama Rwanda.
Hapa ndipo tunapostahili kujiuliza maswali zaidi kwa nini iwe namna hiyo!
 
Great minds nchi hii ziko ama zinatoka lake zone.

Maendeleo ya nchi hii yameletwa ama yataletwa na lake zoners tu.

Hawa wakalia maji pwanis hawana lolote.
Simply uncalled for!

It doesn't add any value to the discourse of our nation!
 
Shinyanga namba 4?😬
Ndiyo Shinyanga ina utajiri wa dhahabu na Almasi.
Kama ulikuwa hujui Almasi inapatikana Mwadui Shinyanga, dhahabu IPO
Shinyanga namba 4?😬
Ndiyo Shinyanga ina rasiliamali nyingi snaa lakini bado haijanufaika nazo, kama hujui Shinyanga ina migodi Mingi snaa, mfano Alimasi inapatikana Mwadui Shinyanga pekeee, Dhahabu ipo Bulyankulu - kakola Shinyanga, dhahabu ipo pia Buzwagi Kahama Shinyanga, Dhahabu IPO pia mwa'bomba kahama Shinyanga nk
 
Wasukuma 19 wenye mizigo mizito wakienda soko la madini pale kahama kuuza madini yao within a week ni mabilioni. Uje kulinganisha na biashara za kusubiri watu waje kuvinjari maisha ndio upate pesa? Wasipo kuja ndio mnaanza kunywa viroba na chang'aa sio? Kua na adabu mkuu
Wasukuma wenzako sasahivi wamejaa huku Mtwara kama makuli kwenye korosho..

Kula yao inategemea Mmakonde aokote korosho.
 
Acha ujinga, Kwani Kahama kuna Nini Cha ziada zaidi ya kale kamgodi??.Muda si mrefu Mtakuja kung'aza pua zenu huku.Maana baada ya miaka mitano Kilimo Cha Parachichi kitakuwa kime shine Sana na ngoma inaruka hadi Ulaya,Tuna chai,tuna miti ya mbao ndo tunahudumia sehemu kubwa ya TZ na nyingine tunauza nchi jirani,Sasa hivi kuna ishu ya Vanilla, Kiazi sisemi.Njombe tuna green gold,Time Will tell.
Njombe nimepapenda sana.. Watu wapambanaji sana huko.
 
Eti wasukuma ni habari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23] habari gan.

Yaan mnashindwa kujisifia kuwa na elimu Bora,mahitaji muhimu Kama hospital na barabara, kuwa financially strong Kama wahaya nk mnajisifia upumbavu wa kuhama kuhama na kuishi hovvyo hovyo mistuni baada ya kuharibu Ardhi yenu huko usukumani.


Huko ulikotaja sio uhayani hata kidogo. Hebu tieni miguu uhayani muone.....
Wasukuma kusema kweli wanahitaji civilization.. Yaani sasahivi wanashindwa tu kuvuka Mto Ruvuma waingie Msumbiji.

Ni watu wa ovyo ovyo, sasa mtu ana ng'ombe 100 anakaa nyumba ya tope tena msituni huko. Ajabu sana hii.. wasukuma wachache wajanja ndio wanawapiga pesa ndugu zao
 
Dhahabu Haiko Sukumaland Pekee. Mara Ina dhahabu na siyo sehemu ya Sukumaland
Mkuu haya mambo huwezi kuyajua, hiyo ni geological term ambayo kwa Mtu ambaye asiyehusika utaona kama wanapamba wasukuma but that is geological term according to geology of Tanzania wala hakuna upendeleo hapa!
 
Back
Top Bottom