Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Population ya know wa Njombe ni ndogo na hivyo kiwango cha GDP hivyo ikigawanya kwa mtu mmoja mmoja inakuwa kubwa ikilinganisha na Mwanza au Geita.Ni kitu gani kinaifanya Njombe iwe na takwimu hizo? Au ni FIKRA zako baada ya kuvuta Bangi ya Kibena bila kula chakula?
Je unajuwa numerator kuwa ni GDP? Kama GDP ni ndogo hata population ikiwa ndogo, per Capita itaendele kuwa ndogo. Labda ujiulize ni components gani zina make up GDP ya Njombe?Population ya know wa Njombe ni ndogo na hivyo kiwango cha GDP hivyo ikigawanya kwa mtu mmoja mmoja inakuwa kubwa ikilinganisha na Mwanza au Geita.
SureNjombe ni ya pili au tatu kwa GDP per capita. GDP per capita ndio kipimo bora zaid kwa sababu hugawanya utajiri kwa mtu mmoja mmoja.
Inategemea sasa na nature ya shughuli za kiuchumi katika mikoa husika. Kwa mfano mikoa ya Geita na Shinyanga inawezekana kabisa halo ya wananchi ni maskini sana lakini kutokana na uwepo wa migodi mikubwa ya dhahabu,GDP lazima iwe kubwa lakini haitaakisi halo ya wananchi
Dodoma nambari 14. Pato Ni 4.6tWapi Dodoma, kuna kipindi tuliambiwa imeifunika Dar kinoma noma......
Kwa tabora umechemka tabora ni magharibi hata mahakama yao kigoma wanaenda tabora ruvuma ni nyanda za juu kusini mtwara na lindi ndio kanda ya kusiniMkuu nikusahihishe..
Kanda ya Ziwa Mara,Mwanza,Kagera,Geita na Shinyanga.
Kanda ya Mashariki
Dar,Pwani na Morogoro.
Kanda ya kati
Dodoma,Singida na Tabora
Kanda ya Kaskazini
Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Kanda ya kusini
Lindi,Mtwara,Ruvuma
Kanda ya Magharibi
Kigoma,Katavi, Songwe..
Nyanda za juu Kusini
Mbeya,Iringa,Njombe
..............
So obviously Kanda ya Mashariki ndio kinara.
Ndio maana reli ya kisasa kupelekwa mwanzaWivu wa nini? Uchumi wa Kanda ya Ziwa ni sawa na Nigeria inavyoongoza kwa GDP kubwa Afrika but life is horrible..
High income dispaity na fedha ni za sekta ambazo sio za wananchi,sasa wangapi wako kwenye migodi ya dhahabu?
Huu ndio ukweli mchungu hata kama hutaki.Wakileta taarifa za Hali ya umaskini lazima muwe wa mwisho na Njombe iko nyuma ya Dar .
Sasa mwanza nayo ikiongeza geita si itasoma 17 bilionHata wawe wa kutoka Ulaya , mwisho wa siku wanafaidisha Mbeya.
Narudia kukwambia huko Usukumani madini hayajawahi wasaidia zaidi ya kugaidisha serikali na makampuni ya wazungu.
Mwisho toa takwimu za Simiyu uone aibu ya Mwanza Hapo.Bila kumega Songwe,GDP ya Mbeya ilikuwa unasoma 11,Juu ya Mwanza na hakuna Migodi hapo..
Hushangai makusanyo ya Jiji tuliwapiga? Utaishia kujilisha upepo wa sijui kijiji sijui nini sisi tunasonga Mbele.
Hayo majumba mazuri vijijini uhayani yanachangia pato la taifa kiasi gani ishu ni GDP sio makazi bora hao wasukuma ni wachuuzi miamala wanayofanya kwa siku tu ni mikubwa huko kwenye machimbo ya dhahabu mfano mji wa bukoba umejengeka kuliko kahama lakini pato la mji wa kahama na mzunguko wa fedha kahama inazidi bukoba japokuwa bukoba imejengeka kuliko kahama ndio ujue majengo hayaongezi pato la taifa halafu hata hayo majengo huko bukoba vijijini hamjauza ndizi ndio mkajenga ni pesa mmepata dar na mikoa mingine mkajenga nyumbani sehemu yenu ya kuzikiwa ili msije kuchekwa ila msukuma akifa anazikwa popote sio lazima kupelekwa kwaoHuwezi ukawa na akili timamu ukalinganisha maendeleo yaliyopo huko vijijini uhayani na usukumani hata kidogo.
Kwa Kanda ya ziwa hakuna mkoa wenye maendeleo vijijini Kama kagera . Just imagine wilaya ya muleba Ina shule zaidi ya 300 na hospital 4.
Wakati huko usukumani Kuna wilaya hazina hospital kabisa na hata lami haipo kabisa tofauti na barabara kuu[emoji23][emoji23]
Pato la mkoa ni mapato TRAPato la mkoa linajumuisha mapato ya halmashauri.
Bukoba hii ninayoijua mimi? Kahama huijui kwa taarifa yako kahama mpaka kijijini imejengeka!Hayo majumba mazuri vijijini uhayani yanachangia pato la taifa kiasi gani ishu ni GDP sio makazi bora hao wasukuma ni wachuuzi miamala wanayofanya kwa siku tu ni mikubwa huko kwenye machimbo ya dhahabu mfano mji wa bukoba umejengeka kuliko kahama lakini pato la mji wa kahama na mzunguko wa fedha kahama inazidi bukoba japokuwa bukoba imejengeka kuliko kahama ndio ujue majengo hayaongezi pato la taifa halafu hata hayo majengo huko bukoba vijijini hamjauza ndizi ndio mkajenga ni pesa mmepata dar na mikoa mingine mkajenga nyumbani sehemu yenu ya kuzikiwa ili msije kuchekwa ila msukuma akifa anazikwa popote sio lazima kupelekwa kwao
Yaana nawaambia ukiichukua buzuruga wananchi na igoma tayari ni mbeya!Nimeishi Mbeya pia miaka minne,naijua vizuri sana Mwanza,usilinganishe Mbeya (kichuguu) na Mwanza (Mlima)