Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Hapo ndo shangaa, low minded pwaniz leo wawa suppress akili kubwa kutoka lake zone just kwa cheap politics......
Mnavyomaanisha pwani mna maana gani?

Kama mnamaanisha mikoa yote iliyopakana na bahari basi ujue Kuna Tanga na Dar es Salaam.

Ukichukua Kanda ya Mashariki pekee Bado wao ndio wanaoongoza.

Acheni dharau za kingese
 
Unaifahamu wilaya Chunya iliyopo mkoa wa Mbeya, unaifahamu kiwango chake Cha uzalishaji dhahabu kwa mwaka?

Hiyo asilimia mia Moja umeitoa wapi?
 
Great minds nchi hii ziko ama zinatoka lake zone.

Maendeleo ya nchi hii yameletwa ama yataletwa na lake zoners tu.

Hawa wakalia maji pwanis hawana lolote.
Ninyi hakuna mnacho leta nchi hii zaidi ya Umasikini na fikra za kimasikini.

Toka enzi mtu toka Kanda ya ziwa akiongoza, ujue uchumi wa nchi utayumba na kurudi nyuma.

Mcheki Nyerere enzi zake timu ya Taifa ilikuwa inacheza kidali wazi.
Hali ya maisha ilikuwa ngumu sana mpaka wakawa wanapewa msaada wa mahindi ya njano.

Mcheki Magunzi ndio muasisi wa vifo, mauaji, purchasing power ya raia kupungua na kuharibu uchumi.
 
mikoa na wilaya imeongezwa kusogeza huduma za haràka kwa jamii. kuna sehemu mtu ili afike wilayani atasafiri karibu km 200 na inambidi alale guest.
pengine tungetafi na njia ya lksogeza huduma bila ya kuanzisha wilaya au mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…