Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Hebu angalia huu Uzi tangu mwanzo.

Ndo utajua na anajilinganisha na watu kati ya wahaya na hayo makabila yenu ya kishamba.


Mtu unaongelea GDP za mikoa lakin wanalaumiwa wahaya as wahaya Wana serikali yao tofauti[emoji23][emoji23]
Nyinyi mnachoweza ni sifa na umalaya! Tuache na ushamba wetu!
 
Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.

Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine.

Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga na Geita kwa jumla ya Trilioni 25 sawa na mkoa wa Dar es Salaam.

Kanda ya kaskazini, pato la mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndio inafikia pato la mkoa wa Mwanza. Utajiri wa Arusha, Kilimanjaro na Tanga ni sawa na utajiri wa Mwanza na Shinyanga.

Kwa Takwimu za NBS, ukitoa Dar, kanda inayofuatia kwa utajiri ni anda ya ziwa, ikifuatiwa na Kaskazini huku Kusini kwa Lindi, Mtwara na jirani yao Pwani wakishika mkia.

Kanda ya nyanda za Juu kusini Mbeya inawabeba ila imezungukwa na mikoa choka mbaya kama Katavi na Njombe hivyo kuchangia kanda hiyo kuonekana ni choka mbaya mbavu za mbwa.

Watu wa Mara tukomae tuiondoe kilimanjaro ama Ruvuma hapo juu tuingie top 10.

====

Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.
1. Dar es Salaam Trilion 25.2
2. Mwanza Trilioni 10.95
3. Mbeya Trilioni 8.3
4. Shinyanga Trilioni 7.5
5. Morogoro Trilioni 7.1
6. Tanga Trilioni 6.96
7. Arusha T6.94
8. Geita T6.66
9. Kilimanjaro T6.62
10. Ruvuma Trilioni 5.6
View attachment 1969823
Mtoa mada umekaa kikabila ila kwakweli Wachagaa wanazivuna mikoa ya watu wakizepeleka kwao hawashkiki
 
Ukiuona mkoa wowote wa Kanda ya Ziwa hapa mni tag 👇

Screenshot_20211008-152927.png
 
Ulishaona msukuma anashobokea mhaya? Hamtaki kuishi maisha halisi kila siku mnafeki kujisikia ujinga!
Kwa hiyo tuishi maisha ya kuhamahama na ng'ombe na kujenga nyumba za udongo huko vijijini.


Mhaya ashatoka hizo stage za uprimitive kwa Sasa ameelimika na anatarget future iliyo Bora kutumia akili nyingi nguvu kidogo. Sio kutumia nguuvu nyingi na akili kidogo Kama walivyo wasukuma [emoji23][emoji23]




Tazama mandhari ya vijiji huko uhayani
1980136_13201.jpg
1980142_5.jpg
 
Kwa hiyo tuishi maisha ya kuhamahama na ng'ombe na kujenga nyumba za udongo huko vijijini.


Mhaya ashatoka hizo stage za uprimitive kwa Sasa ameelimika na anatarget future iliyo Bora kutumia akili nyingi nguvu kidogo. Sio kutumia nguuvu nyingi na akili kidogo Kama walivyo wasukuma [emoji23][emoji23]




Tazama mandhari ya vijiji huko uhayani
Wewe lete ngonjera hapa! Bila hao wasukuma ungekuwa unakula nyama? Unafikiri sekta ya mifugo haina mchango hao wasukuma wanazunguka na mifugo ni wote? Lini umekuja ukakuta wasukuama wote hawapo mwanza simiyu shinyanga na geita? Unarusha vi picha sisi tunaifahamu kagera nyinyi mlishachuja kitambo! Hamna la maana hapo hata mji wenu mi ujingaujinga tu! Hata geitai awazidi mda si mrefu!
 
Vitu gan unataja hapa[emoji23][emoji23]

Shule Kama hizo zipo vijijini huko muleba. Ni vitu vya kawaida.


Mimi ninaongelea institution zilizoshiba zenye matawi mengi nchini...

Vitu Kama Tusiime, vitu Kama kaizirege, vitu Kama kairuki sio hizi medium school ambazo hata huko kyerwa zipo kibao
Shule inayokimbiza sasa hivi Mwanza ni Musabe
 
Hebu angalia huu Uzi tangu mwanzo.

Ndo utajua na anajilinganisha na watu kati ya wahaya na hayo makabila yenu ya kishamba.


Mtu unaongelea GDP za mikoa lakin wanalaumiwa wahaya as wahaya Wana serikali yao tofauti[emoji23][emoji23]
Ndo maana nilimwambia awe anasoma vizuri asikurupuke
 
Hata wawe wa kutoka Ulaya , mwisho wa siku wanafaidisha Mbeya.

Narudia kukwambia huko Usukumani madini hayajawahi wasaidia zaidi ya kugaidisha serikali na makampuni ya wazungu.

Mwisho toa takwimu za Simiyu uone aibu ya Mwanza Hapo.Bila kumega Songwe,GDP ya Mbeya ilikuwa unasoma 11,Juu ya Mwanza na hakuna Migodi hapo..

Hushangai makusanyo ya Jiji tuliwapiga? Utaishia kujilisha upepo wa sijui kijiji sijui nini sisi tunasonga Mbele.
Simiyu inabidi iwekwe peke yake Nje ya mwanza
 
Back
Top Bottom