Pato la taifa Israel kwa mwaka ni $ bilioni 500 (shiling trilioni 1,200), Marekani kuwasaidia $bilioni 3 ni msaada mdogo tu, sio kama unavyokuzwa

Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.

GDP ya Israel ni Dola bilioni 500+ hizi ni sawa na shilingi zetu trilioni 1,250.

Nashangaa kuona hizi kelele zinazopigwa kisa Marekani anaipa Israel dola bilioni 3 za msaada, Pengine kwa umasikini wa mataifa yetu ni pesa nyingi sana lakini kwa hali iliyopo Israel hii bado ni pesa ndogo lakini inakuzwa sana kuonekana kwamba bila huu msaada Israel inaanguka.
Wanatuzidi mara 40
 
na kwann waliingia kwenye huo mtego ? kuna muda mnawatukana waarab bila kujua
Mbona afrika mmefanywa shamba la malighafi na mnatakiwa kuwa masikini na mmeshindwa kutoka kwenye huo mtego!?
 
Halafu mbona unaleta maneno matupu hauleti vyanzo kutoka kwenye taasisi husika?

Halafu kingine hizo $ billion tatu zinazo semwa ni kwa ajili ya kijeshi tu na sio kiuchumi, hivyo kuna misaada mingine ya kiuchumi nje ya hiyo $bilion 3,pia sio Marekani tu Israel inapokea misaada za mabilioni ya $ kutoka nchi zote za umoja wa Ulaya, Uingereza, Canada, Australia na Newzirand.

Halafu nikujulishe kitu kingene kama ulikuwa hujui ni kuwa Nyambizi zote za kijeshi alizo nazo Israel amepewa msaada na Ujerumani.

Pia kingine bidhaa zinazo tengenezwa Israel zimepewa upendeleo maalum wa kutolipa kodi kwa baadhi ya bidhaa na zile zinazo lipiwa kodi zina lipa kodi ndogo, kwenye nchi za Ulaya na Marekani na Canada.
Sasa nchi ya namna hiyo itashindwaje kuwa na maendeleo?

Dola bilioni 3 ambazo Israel inapewa kama msaada wa kijeshi toka Marekani sharti ni lazima zitumike kununua zana za kijeshi toka America. So technically hizo ela ni kama zinarudi tena America.
Kingine unachopaswa kufahamu si Israel Tu ambayo inapokea msaada wa kijeshi toka America, Egypt,Pakistan (na nchi nyinginezo) nazo zinapokea misaada ya kijeshi toka Marekani.

Israel hajawahi kupewa msaada wa nyambizi toka Germany,nyambizi amezilipia ela kama ambavyo uchina imelipa Urusi kununua S-400,hakuna msaada hapo.

Si Israel Tu inayopokea misaada ya kiuchumi toka magharibi dunia hii,hata Sisi Tanzania tunapokea misaada ya kutosha ya kiuchumi lakini hatujafikia hata robo ya maendeleo ambayo Israel imeyapata.

Hata Africa kuna nchi kibao zinaingiza bidhaa Marekani bila kutozwa Kodi Chini ya AGOA,hivyo sijaona cha ajabu.
 
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.

Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote kuhusu misaada.

Pesa kwa kiasi kikubwa wanapata kwenye ubunifu wa Teknolojia za Kilimo, Computer, Silaha, mabenki, n.k. Israel ni taifa linalotegemewa na makampuni mengi ya simu na software kwenye kubuni teknojia mpya, karibu kila kampuni kubwa ina ofisi ya ubunifu Israel, hata hizi software za kudukua mawasiliano huwa zinabuniwa huko zinauzwa kwa mamia ya mabilioni.

Nashangaa kuona hizi kelele zinazopigwa kisa Marekani anaipa Israel dola bilioni 3 za msaada, Pengine kwa umasikini wa mataifa yetu ni pesa nyingi sana lakini kwa hali iliyopo Israel hii bado ni pesa ndogo lakini inakuzwa sana kuonekana kwamba bila huu msaada Israel inaanguka.
We jidanganye tu eti anapewa msaada billion 3 😂 Huyo bila kusaidiwa na US na Europe mngewaona wako mpagala.

Pesa yake inashuka vibaya sana tokea vita kuanza.
 
Dola bilioni 3 ambazo Israel inapewa kama msaada wa kijeshi toka Marekani sharti ni lazima zitumike kununua zana za kijeshi toka America. So technically hizo ela ni kama zinarudi tena America.
Kingine unachopaswa kufahamu si Israel Tu ambayo inapokea msaada wa kijeshi toka America, Egypt,Pakistan (na nchi nyinginezo) nazo zinapokea misaada ya kijeshi toka Marekani.

Israel hajawahi kupewa msaada wa nyambizi toka Germany,nyambizi amezilipia ela kama ambavyo uchina imelipa Urusi kununua S-400,hakuna msaada hapo.

Si Israel Tu inayopokea misaada ya kiuchumi toka magharibi dunia hii,hata Sisi Tanzania tunapokea misaada ya kutosha ya kiuchumi lakini hatujafikia hata robo ya maendeleo ambayo Israel imeyapata.

Hata Africa kuna nchi kibao zinaingiza bidhaa Marekani bila kutozwa Kodi Chini ya AGOA,hivyo sijaona cha ajabu.
Mkuu hapa hoja sio Israel inaitumiaje misaada inayo pokea bali hoja hapa ni Israel inaishi kwa misaada haijalishi inaitumia vizuri kujiendeleza.
Ww mwenyewe unakili ya kuwa Israel ana ishi kwa kupokea misaada kutoka nchi za Magharibi ,sasa tunapo kuwa tunawaambia kuwa Israel ni Tz iliyo changamka kwa nn huwa mna kaza fuvu?

Unajiita super power alafu unategemea kuishi kwa misaada kama Tz na Burundi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Leo jamani niulize hivi Allah hawasaidii waisraeli hata kwa pumzi na baraka zingine? Au Allah ni mungu wa waarabu tu? Wanazuoni mnisaidie
Kifupi hizi imani zote zinatokaa na hadithi za hao watoto wa Ibrahim.
Kifupi hata sisi waafrika tungekuwa tunaandika tungekuwa na dini yetu.
 
Halafu mbona unaleta maneno matupu hauleti vyanzo kutoka kwenye taasisi husika?

Halafu kingine hizo $ billion tatu zinazo semwa ni kwa ajili ya kijeshi tu na sio kiuchumi, hivyo kuna misaada mingine ya kiuchumi nje ya hiyo $bilion 3,pia sio Marekani tu Israel inapokea misaada za mabilioni ya $ kutoka nchi zote za umoja wa Ulaya, Uingereza, Canada, Australia na Newzirand.

Halafu nikujulishe kitu kingene kama ulikuwa hujui ni kuwa Nyambizi zote za kijeshi alizo nazo Israel amepewa msaada na Ujerumani.

Pia kingine bidhaa zinazo tengenezwa Israel zimepewa upendeleo maalum wa kutolipa kodi kwa baadhi ya bidhaa na zile zinazo lipiwa kodi zina lipa kodi ndogo, kwenye nchi za Ulaya na Marekani na Canada.
Sasa nchi ya namna hiyo itashindwaje kuwa na maendeleo?
Kwanini hiyo misaada hawapewi Gaza au Tanzania?
 
Hizo nchi zote ulizozitaja zinaisaidia Israel ni nchi za kibepari! Bepari hawezi kukupa hela bure kama hapati faida kutoka kwako! Wabobezi wa Technolojia ya tehama na nyuklia duniani ni hao waisraeli! Tajiri hawezi fanya urafiki na masikini!
Mbona Tanzania tunapokea misaada mikubwa Sana kupitia USAID Wala hutusemi mkuu😄
 
Una uhakika tz haipewi misaada?[emoji2][emoji2][emoji2]

Yaani kiufupi Israel haina tofauti yeyote na Tz kwa sababu wote wanaishi kwa misaada ya wazungu.
Kupewa misaada sawa lkn je tuko kama israel?

Kwamba kuna pakeji za mabilioni ya dola tunapewa ili hata majirani zetu wakituvamia tuwatwange kisawa sawa?
 
Tz tuna pewa msaada kidogo ukilinganisha na kwa sababu baadhi ya mambo tuna jiweza.
Israel inapewa misaada ya kila aina kwasababu hajiwezi kwa chochote zaidi ya propaganda.

Tz tulisha wahi vamiwa na Uganda na tukaipiga tukaishinda mpaka tukaiteka kampala na jeshi letu lilipigana kwa weledi wa hali ya juu kabisa kwa sababu hawa kwenda kuua watoto, wanawake na kuvunja majumba hovyo hovyo kama vichaa.

Kwa hiyo Tz ni jeshi lenye weledi alafu jeshi la Israel ni kikundi cha wahuni chenye silaha za kisasa.
 
Halafu mbona unaleta maneno matupu hauleti vyanzo kutoka kwenye taasisi husika?

Halafu kingine hizo $ billion tatu zinazo semwa ni kwa ajili ya kijeshi tu na sio kiuchumi, hivyo kuna misaada mingine ya kiuchumi nje ya hiyo $bilion 3,pia sio Marekani tu Israel inapokea misaada za mabilioni ya $ kutoka nchi zote za umoja wa Ulaya, Uingereza, Canada, Australia na Newzirand.

Halafu nikujulishe kitu kingene kama ulikuwa hujui ni kuwa Nyambizi zote za kijeshi alizo nazo Israel amepewa msaada na Ujerumani.

Pia kingine bidhaa zinazo tengenezwa Israel zimepewa upendeleo maalum wa kutolipa kodi kwa baadhi ya bidhaa na zile zinazo lipiwa kodi zina lipa kodi ndogo, kwenye nchi za Ulaya na Marekani na Canada.
Sasa nchi ya namna hiyo itashindwaje kuwa na maendeleo?
Sasa wewe unafikiri Tanzania chini ya ccm hata ikipewa yote hayo ndio itaendelea si ndio watoto wataacha kabisa kusomea kwenye majengo mabovu haya yaliyopo na kuhamia kabisa chini ya miti.
 
Sasa dollar bilion 500 nayo ni hela

GDP ya Israel ni sawa na GDP ya mji mmoja tu pale China wa Shenzhen
Wewe GDP ya nchi yako ni ngapi na tuangalie nchi yako na Israel ipi ina rasilimali nyingi. Tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom