Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

GDP PPP haijaundwa Kwa sababu ya weakness ya per capita Bali na wala hainyoshi ustawi WA watu kama ulivyodai
Lengo la GDP PPP ni kulinganisha cost of living na hata welfare kati ya taifa moja na lingine considering a country's goods and service kitu ambacho GDP per capita haiwezi

Nchi inaweza kuwa n GDP per capita kubwa lakini ikawa na cost of living kubwa kuliko yenye GDP per capita ndogo

Mfano ni Marekani na China. Marekani upande wa nominal GDP na GDP per capita wako juu zaidi ya China. Lakini ukija upande wa GDP PPP China imeizidi Marekani
 
Dolla mpaka sasa ni 2599 inakimbilia 2700 huko mpaka 3000 iliposhuka ikafika 2300/2250 misifa yote yote yoooote kwa mama mama kufanyaje mama Uchumi umepanda mama kaishusha dollar, Trump akasema usinichezee wewe Kamala piga kitu dollar inapaa km sio yenyewe
 
Tunamshukuru sana Mama Samia 😊 Kwa hakika anaupiga mwingi
 
Tofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
Mbona maendeleo yetu ni makubwa mno kushinda hizo nchi kwenye muziki na soka
 
Hata South Africa imeipita Nigeria , Egypt imeipita Nigeria Kwa per Capita ila GDP labda waungane na maskini wenzao.
 
Hata GDP PPP haielezei welfare ya watu Bali ni adjustment ya exchange rate.
Lengo la GDP PPP ni kupima cost of living internatinal dollar using PPP rates

Tuchukulie mfano wa rates ya USD 1. Let say mtu wa taifa "A" kwa USD 1 anaweza kupata service na goods kwa wingi kuliko wa taifa "B" kwa kiwango kilekile cha USD 1

Huoni kama hapo tayari huyu wa taifa "A" amemzidi welfare yule wa taifa "B" anayepata service na goods hafifu kwa ileile USD 1?

 
Uganda nadhani hatuipi maua yake, ila wanakuja kwa kasi sanaa,
Kwa miaka mingi uchumi wao umekuwa unakuwa kwa 7%+
Pia kodi kwenye biashara zao wanalegeza sana.
 
Sio jambo la ajabu Kwa sababu Fedha za Mnyororo wa Mafuta zimeanza kuingia na zita flow zaidi mwisho wa mwaka huu na mwakani na ku boost GDP ya Uganda plus hiyo per Capita income lakini sio rahisi Kuipita Tanzania Kwa GDP size IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika
 
Ni lini Uganda na Tanzania GDP zao zimekua kwa rate ya USD billions?
 
Hata Libya ya Gaddafi ilikuwa na unemployment kubwa tu sana ila ilikuwa na maisha mazuri kuliko Tanzania.

Ukijilinganisha kwa unemployment rate za Spain na Greece sasa hivi unaweza kujisifia bongo ina maisha mazuri sana kuliko hizo nchi😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…