Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GDP PPP haijaundwa Kwa sababu ya weakness ya per capita Bali na wala hainyoshi ustawi WA watu kama ulivyodai
Dolla mpaka sasa ni 2599 inakimbilia 2700 huko mpaka 3000 iliposhuka ikafika 2300/2250 misifa yote yote yoooote kwa mama mama kufanyaje mama Uchumi umepanda mama kaishusha dollar, Trump akasema usinichezee wewe Kamala piga kitu dollar inapaa km sio yenyeweHaishangazi, GDP per capita ya Tanzania imekuwa na onezeko dogo Sana tangu 2016, mwenendo WA uchumi WA Tanzania chini ya Samia sio mzuri kabisa hata Kwa kumtazama exchange rate ya tZ ndani ya mwaka mmoja utaliona hili.
Uwezo wa Marais wa Tanzania kwa kuangalia ukuaji wa uchumi kwenye miaka mitano ya mwanzo (GDP per capita)
Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili) 1. Rais Benjamin William Mkapa Kati ya mwaka...www.jamiiforums.com
Hio ndio nini Kafulila?
Mbona maendeleo yetu ni makubwa mno kushinda hizo nchi kwenye muziki na sokaTofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
Hata South Africa imeipita Nigeria , Egypt imeipita Nigeria Kwa per Capita ila GDP labda waungane na maskini wenzao.Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.
Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.
Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.
![]()
BIG STORY: Uganda Overtaking Tanzania in GDP Per Capita – IMF Data
Kampala – Uganda is surpassing Tanzania in GDP per capita, solidifying its position as one of East Africa’s fastest-growing economies, according to the latest analysis of the International Monetary Fund (IMF) data from the October 2024 World Economic Outlook. IMF’s datamapper, a process that...chimpreports.com
Hata GDP PPP haielezei welfare ya watu Bali ni adjustment ya exchange rate.
Mama Damaso haupigi huo mwingi? Asingeupiga huo mwingi ungekuwepo wewe leo? Siku moja moja amkeni na akili zenu basi wasifieni hata Mama zenu nao wajisikie angalauTunamshukuru sana Mama Samia 😊 Kwa hakika anaupiga mwingi
Purchasing Power ParityHio ndio nini Kafulila?
Kiswahili tafadhali au andika Kichina hio lugha inaniumiza machoPurchasing Power Parity
Kwa nini? Nimewahi leta mada kuhusu Uganda kuwa na GDP kubwa baada ya Mafuta kuanza ku flow.Soma hapa IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza KumiminikaChoiceVariable akiiona hii atalia sana
Pia kodi kwenye biashara zao wanalegeza sana.Uganda nadhani hatuipi maua yake, ila wanakuja kwa kasi sanaa,
Kwa miaka mingi uchumi wao umekuwa unakuwa kwa 7%+
Sio jambo la ajabu Kwa sababu Fedha za Mnyororo wa Mafuta zimeanza kuingia na zita flow zaidi mwisho wa mwaka huu na mwakani na ku boost GDP ya Uganda plus hiyo per Capita income lakini sio rahisi Kuipita Tanzania Kwa GDP size IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza KumiminikaUganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.
Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.
Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.
![]()
BIG STORY: Uganda Overtaking Tanzania in GDP Per Capita – IMF Data
Kampala – Uganda is surpassing Tanzania in GDP per capita, solidifying its position as one of East Africa’s fastest-growing economies, according to the latest analysis of the International Monetary Fund (IMF) data from the October 2024 World Economic Outlook. IMF’s datamapper, a process that...chimpreports.com
Botswana wanafunzi wanapewa chakula cha kula shuleni mchana na cha kubeba kula nyumbani jioni.Kwa nini? Nimewahi leta mada kuhusu Uganda kuwa na GDP kubwa baada ya Mafuta kuanza ku flow.Soma hapa IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika
Hata Botswana,Namibia nk wote Wana per Capita kubwa kushinda Tanznaia lakini generally ni Vinchi maskini tuu.
Botswana si ndio Ile tulikuwa tunajadili juzi? Unajisahaulisha? 😁😁Botswana wanafunzi wanapewa chakula cha kula shuleni mchana na cha kubeba kula nyumbani jioni.
Zinapikwa wapi?Mchumi wa CCM eti anaongea kwa data bila kufahamu kuwa data upikwa.
Kati 2018-2023 GDP ya Uganda imekuwa ilikuwa 5.2% na 6.3 ambayo Tanzania Kwa muda mwingi ni 5%. Hivyo TZ wala haifanyi vizuri kuliko ya Uganda in terms of GDP japo TZ ina uchumi mkubwa. Ambayo onezeko GDP Kwa ug imekuwa karibu dola bil 4-5 Kwa mwaka, wakati tz ni bil 3-4.
Hata Libya ya Gaddafi ilikuwa na unemployment kubwa tu sana ila ilikuwa na maisha mazuri kuliko Tanzania.Botswana si ndio Ile tulikuwa tunajadili juzi? Unajisahaulisha? 😁😁
Nchi Ina watu less than 3mln harafu inalia Ajira 😂
Hata hiyo Uganda Yako ni Mafuta hayo lakini hizo hela hakuna mahala zinawafikia Waganda wa kawaida.
Mwisho soma hapa pia World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.
Ila Nchi yenu ndio Marekani ya Afrika au sio?Vinchi maskini tuu.