Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

GDP PPP haijaundwa Kwa sababu ya weakness ya per capita Bali na wala hainyoshi ustawi WA watu kama ulivyodai
Lengo la GDP PPP ni kulinganisha cost of living na hata welfare kati ya taifa moja na lingine considering a country's goods and service kitu ambacho GDP per capita haiwezi

Nchi inaweza kuwa n GDP per capita kubwa lakini ikawa na cost of living kubwa kuliko yenye GDP per capita ndogo

Mfano ni Marekani na China. Marekani upande wa nominal GDP na GDP per capita wako juu zaidi ya China. Lakini ukija upande wa GDP PPP China imeizidi Marekani
 
Haishangazi, GDP per capita ya Tanzania imekuwa na onezeko dogo Sana tangu 2016, mwenendo WA uchumi WA Tanzania chini ya Samia sio mzuri kabisa hata Kwa kumtazama exchange rate ya tZ ndani ya mwaka mmoja utaliona hili.

Dolla mpaka sasa ni 2599 inakimbilia 2700 huko mpaka 3000 iliposhuka ikafika 2300/2250 misifa yote yote yoooote kwa mama mama kufanyaje mama Uchumi umepanda mama kaishusha dollar, Trump akasema usinichezee wewe Kamala piga kitu dollar inapaa km sio yenyewe
 
Tofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
Mbona maendeleo yetu ni makubwa mno kushinda hizo nchi kwenye muziki na soka
 
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.

Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.

Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.

Hata South Africa imeipita Nigeria , Egypt imeipita Nigeria Kwa per Capita ila GDP labda waungane na maskini wenzao.
 
Hata GDP PPP haielezei welfare ya watu Bali ni adjustment ya exchange rate.
Lengo la GDP PPP ni kupima cost of living internatinal dollar using PPP rates

Tuchukulie mfano wa rates ya USD 1. Let say mtu wa taifa "A" kwa USD 1 anaweza kupata service na goods kwa wingi kuliko wa taifa "B" kwa kiwango kilekile cha USD 1

Huoni kama hapo tayari huyu wa taifa "A" amemzidi welfare yule wa taifa "B" anayepata service na goods hafifu kwa ileile USD 1?

Screenshot_20250209-152208_Chrome.jpg
 
Uganda nadhani hatuipi maua yake, ila wanakuja kwa kasi sanaa,
Kwa miaka mingi uchumi wao umekuwa unakuwa kwa 7%+
Pia kodi kwenye biashara zao wanalegeza sana.
 
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.

Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.

Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.

Sio jambo la ajabu Kwa sababu Fedha za Mnyororo wa Mafuta zimeanza kuingia na zita flow zaidi mwisho wa mwaka huu na mwakani na ku boost GDP ya Uganda plus hiyo per Capita income lakini sio rahisi Kuipita Tanzania Kwa GDP size IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika
 
Kati 2018-2023 GDP ya Uganda imekuwa ilikuwa 5.2% na 6.3 ambayo Tanzania Kwa muda mwingi ni 5%. Hivyo TZ wala haifanyi vizuri kuliko ya Uganda in terms of GDP japo TZ ina uchumi mkubwa. Ambayo onezeko GDP Kwa ug imekuwa karibu dola bil 4-5 Kwa mwaka, wakati tz ni bil 3-4.
Ni lini Uganda na Tanzania GDP zao zimekua kwa rate ya USD billions?
 
Botswana si ndio Ile tulikuwa tunajadili juzi? Unajisahaulisha? 😁😁

Nchi Ina watu less than 3mln harafu inalia Ajira 😂

Hata hiyo Uganda Yako ni Mafuta hayo lakini hizo hela hakuna mahala zinawafikia Waganda wa kawaida.

Mwisho soma hapa pia World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.
Hata Libya ya Gaddafi ilikuwa na unemployment kubwa tu sana ila ilikuwa na maisha mazuri kuliko Tanzania.

Ukijilinganisha kwa unemployment rate za Spain na Greece sasa hivi unaweza kujisifia bongo ina maisha mazuri sana kuliko hizo nchi😁
 
Back
Top Bottom